Fao la Kujitoa laruhusiwa

itagata

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
209
71
Serikali inatarajia kutoa kauli ya kuruhusu fao la kujitoa kwa wafanyakazi kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii katika kikao cha bunge kinachotarajia kuanza leo jumanne mjini Dodoma. hali hii imetokana na malalamiko ya wafanyakazi juu ya sheria iliyokuwa ikiwakataza kuomba fao hilo mara baada ya kuacha ajira mpaka wanapofikia umri nwa kustaafu. Fuatilia vikao vya bunge kwa taarifa zaidi

source; Habarileo
 
Back
Top Bottom