Fanya haya lazima! Lazima! Utakuwa tajiri.

Userne

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
892
124
Kwa sababu nguvu na akili za binadamu ni dhaifu, huwezi ukatajirika, huwezi! na ni sababu tosha za umaskini wetu!
Ili utajirike lazima upate nguvu na akili ya ziada ambayo utaipata kwa MMUNGU, au SHETANI.
1. Kama utafuata maelekezo na maagizo ya MMUNGU 80% Hakika Hakika UTATAJIRIKA.

2. Kama utafuata maelekezo na maagizo na masharti ya Shetani. Mf; muue mama yako au mwanao, mgeuze mwanao zuzu, lete kiungo au ngozi ya binadamu na kafara nyingine za kutisha, Hakika Hakika utafanikiwa. lakini mwisho wako utakuwa mbaya na kutisha!
Masharti ya MMungu ni mepesi, lakini watu wanafuata masharti magumu ya shetani!
 
Kwa sababu nguvu na akili za binadamu ni dhaifu, huwezi ukatajirika, huwezi! na ni sababu tosha za umaskini wetu! Ili utajirike lazima upate nguvu na akili ya ziada ambayo utaipata kwa MMUNGU, au SHETANI.1. Kama utafuata maelekezo na maagizo ya MMUNGU 80% Hakika Hakika UTATAJIRIKA.2. Kama utafuata maelekezo na maagizo na masharti ya Shetani. Mf; muue mama yako au mwanao, mgeuze mwanao zuzu, lete kiungo au ngozi ya binadamu na kafara nyingine za kutisha, Hakika Hakika utafanikiwa. lakini mwisho wako utakuwa mbaya na kutisha! Masharti ya MMungu ni mepesi, lakini watu wanafuata masharti magumu ya shetani!
Mimi namkubali Mungu hadharani, bora tu nichelewe kutajirika lakini najua Mungu hawezi kuniacha.Tuache kuamini kuwa pesa ni kila kitu. Jamani! Halafu tutofautishe Baraka na Mafanikio. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Kazi kweli kweli Kanuni ya mafanikio kwa pande zote ni kutoa ili upokee Mungu anataka umtolee kwa moyo kila upatapo kwa kiwango alichoweka na taratibu utayaona mafanikioShetani anataka umtolee kabla hajakupa na sadaka yake chungu ila anakutajirisha haraka
 
na ikishakutajirisha haraka, huyo shetani anaweza kukupa umaskini haraka vile vile , kama kuzima mshumaa vile, waaaap....
 
He who believes in the Son has everlasting life;and he who does not believe the Son shall not see the life,but the wrath of God abides on him."
John 3:36.
 
Sijakuelewa unachozungumzia, najua kumwamini Mungu au shetani hakuna link yoyote na utajiri? Kuwa tajiri si lazima uwe na jiuhudi na maarifa katika kufanya majukumu yako ya kila siku. Shetani au mungu isiwe excuse ya wewe kutokuwa tajiri kajiri kama unapenda. Kumbuka kuna watu wengine hatupendi kuwa matajiri et all.
 
Licha ya kumwamini Mungu pia mafanikio ya mtu yanategemea na namna yeye mwenyewe anavyowajibika. Huwezi kuwa umekaa tu unamuomba Mungu akuletee huo utajiri bila ya kujituma.
 
Sawa bwana,wewe umeshayafanya?au unahubiri usichokitenda?Sina tatizo na kumwamini Mungu.
 
Lazima! Lazima sio Lazima utajiri umaskini vyote ni matokeo wapo waliopiga sana goti, duw,a maombi na kutenda mema kwa kwenda mbele lakini blue wakajalibu njia mbadala ndiyo hiyo ya nguvu za shetani nayo blue ulazima ni matokeo, unaweza goti usipige kwa sangoma usiende na pepo zikakushukia mambo yakawa super.
 
Kwa sababu nguvu na akili za binadamu ni dhaifu, huwezi ukatajirika, huwezi! na ni sababu tosha za umaskini wetu!
Ili utajirike lazima upate nguvu na akili ya ziada ambayo utaipata kwa MMUNGU, au SHETANI.
1. Kama utafuata maelekezo na maagizo ya MMUNGU 80% Hakika Hakika UTATAJIRIKA.

2. Kama utafuata maelekezo na maagizo na masharti ya Shetani. Mf; muue mama yako au mwanao, mgeuze mwanao zuzu, lete kiungo au ngozi ya binadamu na kafara nyingine za kutisha, Hakika Hakika utafanikiwa. lakini mwisho wako utakuwa mbaya na kutisha!
Masharti ya MMungu ni mepesi, lakini watu wanafuata masharti magumu ya shetani!

Wewe unafuata lipi kati (2) au (1)?
 
Kwahiyo wewe umeshakuwa tajili tayari?
 
The fear of the LORD is the beginning of wisdom, and the knowledge of the holly one is insight. For by me your days will be multiplied, and years will be added to your life. If you are wise you are wise for yourself; If you scoff, you alone will bear it.
 
Sawa bwana,wewe umeshayafanya?au unahubiri usichokitenda?Sina tatizo na kumwamini Mungu.
Mie kwa Mungu sipo wala kwa shetani! nategemea nguvu na akili yangu dhaifu. Hongera mkuu ila tu usiwe vuguvugu kama kama mimi!
 
Back
Top Bottom