Fantasy imemponza

Sasa VOR kutakuwa na ndoa hapo kweli?
Daaa dunia ina vituko kweli!!

Ndo maana tunawashauri kwanza wahairishe hiyo harusi waende likizo ili wakaondoe hizo fantasy zao vichwani. Zaidi ya hayo wawaandae wanasheria wa kuwatengenezea makaratasi ya kuivunja hiyo ndio kabla day zero haijaisha!
 
Kadri siku zinavyokwenda watanzania tunazidi kuwa kama wamarekani hivi....

Ilianza oral sex...ikakubalika
ikaja anal sex,sasa imekuwa fashion..

Sasa zinakuja hizo threesome na double penetration...

Mwisho itakuwa orgy na group sex,na mwisho kabisa na
dada yako,au wanyama.....

It never stop with these stuffs....
 
Mungu tupe Roho wako Mtakatifu atusaidie...ltujue matumizi mazuri ya Ulimi,.....................
 
Kadri siku zinavyokwenda watanzania tunazidi kuwa kama wamarekani hivi....

Ilianza oral sex...ikakubalika
ikaja anal sex,sasa imekuwa fashion..

Sasa zinakuja hizo threesome na double penetration...

Mwisho itakuwa orgy na group sex,na mwisho kabisa na
dada yako,au wanyama.....

It never stop with these stuffs....

acha tu ndugu yangu, huku tunapoelekea siko kabisa
 
Mhhh,

Sina hakika kama nimeelewa vizuri ila kwa mwendo wa hawa vijana wa dot com hata sijui wanaenda wapi? Hayo ni mambo gani ya kusimuliana?

Kama wanaweza kuhairisha ndoa hata kwa mwezi moja au miwili itawasaidia kugundua kama kweli wanaweza kuishi pamoja kama mume na mke. Bahati kubwa waliyonayo ni kwamba Mungu amewasaidia kuona uchochoro utakaowasumbua mapema. Nadhani hii ndoa tayari imeshavunjika kabla ya kupigwa baraka na Paroko au kupashiwa ubani na shekh! Ikiwezekana wakapumzike kwanza kila mtu apate honey moon peke yake!

Ndoa za voda fasta
 
Ndo maana tunawashauri kwanza wahairishe hiyo harusi waende likizo ili wakaondoe hizo fantasy zao vichwani. Zaidi ya hayo wawaandae wanasheria wa kuwatengenezea makaratasi ya kuivunja hiyo ndio kaba day zero haijaisha!

Sasa babu unadhani ni kwa nini mwanadamu anahangaika kiasi hiki, kwa nini watu wasitulie tu wakaishi maisha ya kawaida? Mbona mwanadamu anafanya mambo kama vile ataishi milele hapa duniani?? Babu hebu niambie sababu ya haya mahangaiko ni nini??
 
Sasa babu unadhani ni kwa nini mwanadamu anahangaika kiasi hiki, kwa nini watu wasitulie tu wakaishi maisha ya kawaida? Mbona mwanadamu anafanya mambo kama vile ataishi milele hapa duniani?? Babu hebu niambie sababu ya haya mahangaiko ni nini??

Haya mambo ya tamaa na imaginations yapo toka enzi za Adam na mkewe, Hawa. Kwa hiyo hayakuanza leo. Tatizo kubwa ni kwamba baadhi watu hawajui walikotoka, waliko na wala wanakotaka kwenda. Wako gizani tu. Inapotokea nafasi kama hii, wamshukuru Mungu kwani amewaonesha mapema kuwa wako incompatible. Wasithubutu hata kidogo kuingia jela (kwenye ndoa)...wataozea huko na kutoka itakuwa vigumu sana. Wamalize kwanza hayo matamanio yao.

Hata hivyo hili suala la utandawazi linatumaliza. Hapo ndipo inapotakiwa kila mtu kuwa mbayu wayu. Lakini pia tuwaeleze watoto wetu kwamba siyo feelings zote za kingono unaweza kumweleza mpenzi wako. Unaseeema weee, lakini bakiza shea kidogo ya babu na bibi. Vinginevyo utalikoroga na hakuna wa kukusaidia kulinywa au kulimwaga. It is never easy to understand even simple issues in relationships..!!! Tuwe makini sana!
 
No hapo hakuna ndoa.., unless ni companionship peke yake..

Kama ni hiyo hawana shida kwani hapo hakuna haja ya papers au nakosea? Na uzuri wake ni kama kuajiriwa na Mhindi..Uko kazini wakati uko kwenye kiti..Kazi inaweza kuisha wakati wowote Mhindi akipandwa na kichaa!
 
Du nyie vijana sio kila Fantancy unamweleza mwenzako hata km ni mkeo, kuna wengine kwa wame zao hawafanyi lkn tukikutana nao g/h wanaomba kujaribu siuji na mm wangu!
Halafu bora Lesbian kuliko 3some asijaribu kabisa maana hiyo ndoa haitadumu na hakuna siri ya wa3 km ni dadayako mwambie kuna ubiduaji wa kiyama huko. Wavumiliane na Julai watafunga ndoa tu
 
What did he expect when the qn was popped? People have all kind of fantasies and it become an issue really when u try to potray too much 'uzungu' in Africa,
I know for the westerners, sometimes men or ladies fulfill their spouses's fantasies as a way of showing love...upo hapo?
But for us, we just don't and I for one take it to understand the whole thing isn't African therefore people shouldn't venture in avenues where they can't get away from..especially fantasizing about western fantasies..
Someone said ni ndoa za voda fasta.. Really couldn't agree more..
 
Hii dunia iko mwishoni. Kama fantasy zao ni hizo basi ni balaa. Kama ulikuwa utani for each other, basi wajuane kwanza, na pengine walikuwa hawajua maana halisi ya fantasy, kwa kawaida ni ajabu kumwambia mchumbaako nina fantasy ya 3some na kulala na mwanamke mwenzangu hata kama ni utani. Hata hivyo mahusiano ya mwaka mmoja kwangu mimi ni mafupi sana kumfahamu mwenzako, thats why wanahangaika, wangejuana wasingefikia huko pengine ingekuwa just joke. they have to get to know each other first. Daa ukistaajabu ya MUSA UTAONA YA fIRAUNI.
 
Back
Top Bottom