Fanicha kwa bei nafuu

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Tunatengeneza aina mbali mbali za fanicha kwa kutumia mbao ngumu kama mninga,mkongo,mvule na mpande karakana yetu iko sinza palestina Dar es salaam,tunatengeneza makabati ya jikoni pia,wasiliana nasi kwa;akamanyusi@yahoo.co.uk au tupigie simu 0713876210
 

Attachments

  • kitanda.jpg
    kitanda.jpg
    46.8 KB · Views: 680
  • kitanda3.jpg
    kitanda3.jpg
    45.9 KB · Views: 534
  • wooden-bed_10798405.jpg
    wooden-bed_10798405.jpg
    23.1 KB · Views: 930
  • Wooden-Kitchen-Cabinets[1].jpg
    Wooden-Kitchen-Cabinets[1].jpg
    83 KB · Views: 561
  • milango.jpg
    milango.jpg
    15.6 KB · Views: 627
Last edited:
mnatengeneza sofa set kwa bei gani na ni imara, itabidi nije kuwatembelea kwenye showroom yenu
 
safi sana. . . nataka kujua bei ya mlango kama huo na kitanda hicho cha chini.
 
Tunatengeneza aina mbali mbali za fanicha kwa kutumia mbao ngumu kama mninga,mkongo,mvule na mpande karakana yetu iko sinza palestina Dar es salaam,tunatengeneza makabati ya jikoni pia,wasiliana nasi kwa;akamanyusi@yahoo.co.uk au tupigie simu 0713876210

Umepotea Manyusi mm natafuta sofa ya bei chee
 
Thread ya Tangu mwaka 2009. Manyusi mwenyewe naona hajawahi ku respond kabisa.
 
Muwieni radhi jamani manyusi ndiyo zake kuja na kupotea! shughuli nyingi anafkuzia mbao mashammbani, au yuko bize na randa!!!....next tym uweke namba yako kaka; watu washaisahau, pia nakushauri uwasiliane na mods ubandike tangazo la kwelli-utauza sana kaka samani zako ni nzuri na imara kwa bei nafuu kabisa!
 
Mh sinza Palestina ipi na kiwanda kinaitwaje kwani hayo maeneo sijaona kiwanda cha fenicha zaidi naona mafwafwa (sofa za kibongo za mbao nyeupe na mito ya magodoro ya kulalia) poor quality hapo Snza kwa Remi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom