Fanco Kabigi: Dreva Wa Kwanza Wa Muasisi Wa Chadema Azikwa Leo.

hivi komba nae alikuwa mwanajeshi?

Mpiganaji:
images

 
CDM ina historia ya madisko man.
Kama hukujirusha udogoni kuna tatizo unayaanza sasa hivi.. Tulikuwa tunapiga kitabu na club tukienda hakuna matatizo tena enzi za Nyerere hakuna mgao wa Umeme..
zomba, Franco hakuwa mwanajeshi umesikia wapi hii tena? Sikonge na huyo mwenye shati jeupe hapa mbele unamshitukia?
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe william ni nani ktk nchi yetu?
Naona kila tukio upo, na kutoa taarifa za kina, wamekupa msosi?
Lini ukawa msemaji wa chadema wa mambo ya maafa na starehe? Comedown!!!!
Mkuu wewe ndo mtu mwenye roho na nia njema atakuita masikini wa moyo.
 
Watanzania wasio waaminifu kama wale walioiuzia CDM mafusu used kwa milion 280.

Tena yalikuwa ni mafuso mtumba, waliwachapa million 350, halafu unajuwa mfanya biashara aliyewapiga hizo alikuwa nani? halafu wanafurahi na kucheka na wanatetea. Amma kweli ukipenda chongo unaona kengeza.
 
Kama hukujirusha udogoni kuna tatizo unayaanza sasa hivi.. Tulikuwa tunapiga kitabu na club tukienda hakuna matatizo tena enzi za Nyerere hakuna mgao wa Umeme?
Kwa hiyo kuenzi tabia yenu mkaamua kumuweka DJ kuwa mwenyekiti wa chama chenu. Interesting.
 
Tena yalikuwa ni mafuso mtumba, waliwachapa million 350, halafu unajuwa mfanya biashara aliyewapiga hizo alikuwa nani? halafu wanafurahi na kucheka na wanatetea. Amma kweli ukipenda chongo unaona kengeza.

Naona kwenye post za chadema hulali! Usiku kucha unatoa povu
 
CHADEMA walimsaidia wakati anaugua au wamengoja kuosha jina kwenye mazishi tu? Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi familia hukataa wanasiasa iwapo wanaamini wamewatelekeza in the hour of need...

Kwani kila afaye huwa anaugua? Acha kuabisha taaluma bana...
 


JANA KWENYE MAZISHI MET WITH LOONG TIME FRIENDS FROM LEFT: SPEARMAN SULEIMAN; THE LEGEND ISSA MICHUZI; BIG SHOW; MAJIDD FOTOFAST; DJ HOELA; DJ SEYDOU!!
WILIE
 
RIP "MUKUBWA" hili ndio jina nililokuwa nikikuita unaitika na kunyanyua kofia yako juu na kuishusha!

Nimepoteza RAFIKI,KAKA, MSHAURI WA MAMBO MENGI NA NDUGU! Daima nitakumbuka.
 
Huyo si alikuwa mwanajeshi?

Binaadam hakuna aliyekamilika. Hata Slaa alidondoka Mwanza tena chooni na mpaka leo mkono umekuwa kilema au hujui hilo? Na yeye alikuwa kafunga kwaresima?

Dokta wa kanoni.

Mpiganaji wa kususa.

Tena yalikuwa ni mafuso mtumba, waliwachapa million 350, halafu unajuwa mfanya biashara aliyewapiga hizo alikuwa nani? halafu wanafurahi na kucheka na wanatetea. Amma kweli ukipenda chongo unaona kengeza.

Maambukizi ya virus vya ccm husababisha maradhi mabaya sana, oneni mtiririko wa muathirika zomba, wenzio wako msibani mkuu, sijui zomba anatutaka tufanye nini. Mambo ya ndani kwa wenzio waachie wenyewe, ya nje vilevile usirukie gari kwa mbele!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom