Fanco Kabigi: Dreva Wa Kwanza Wa Muasisi Wa Chadema Azikwa Leo.

Apr 27, 2006
26,588
10,375

FRANCO NERO KABIGI; ALIKUWA DREVA WA KWANZA WA MZEE MTEI MUASISI WA CHADEMA ALIPOANZA MBIO ZA KUANZISHA CHAMA NA PIA MFUASI MKUBWA WA CHAMA HICHO MPAKA ANAFARIKI MAJUZI HAPA DAR, LEO AMEZIKWA KWA HESHIMA ZOTE ZA CHAMA HICHO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI; PAMOJA NA KUWEPO KWA MVUTANO KIDOGO KUTOKANA NA FAMILIA YA MUASISI HUYU KUKATAA VIONGOZI WA CHADEMA WASIHUSIKE KWA KARIBU, LAKINI TATIZO HII ILITATULIWA MARA MOJA NA JENEZA LA FRANCO LIKAVALISHWA BENDERA YA CHADEMA MPAKA KUINGIA KABURINI.

- NIIKUWEPO KWA SABABU FRANCO WAS ONE OF MY GREAT FRIEND, PIA WAS GREAT TO MEET DR. SLAA AND HIS WIFE, NA MAKAMANDA WENGINE WA CHADEMA, SIASA SIO UGOMVI TUNAWEZA KURUSHIANA MAWE HUMU NA NJE YA HAPA, LAKINI BADO NI ONE PEOPLE NA ONE NATION!!

- MUNGU AMUWEKE PEMA MAREHEMU FRANCO A TRUE CHADEMA MAN!!, SIKU ZA MWISHO WA UHAI WAKE HE WORKED SO HARD KUWAANDIKISHA WANACHAMA WAPYA WA CHADEMA.

William.
 
mmh sitoi neno mie maana nikianza nitamaliza vibaya .....ni william tena sina la kusema
 
RIP..
William unajua tumempoteza mwenzatu maana nakumbuka vizuri sana Franco enzi YMCA, Mbowe, Jetset, Rungwe na Holiday, in fact yeye alikuwa mmoja wa waasisi wa Space 1900 pale YMCA. Yaani sikumbuki kusikia mtu kagombana na Franco - never..Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi..
 
Pole kijana wa zamani! RIP kamanda Franco.
 
CHADEMA walimsaidia wakati anaugua au wamengoja kuosha jina kwenye mazishi tu? Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi familia hukataa wanasiasa iwapo wanaamini wamewatelekeza in the hour of need...
 
Kwani wewe william ni nani ktk nchi yetu?
Naona kila tukio upo, na kutoa taarifa za kina, wamekupa msosi?
Lini ukawa msemaji wa chadema wa mambo ya maafa na starehe? Comedown!!!!
 
CHADEMA walimsaidia wakati anaugua au wamengoja kuosha jina kwenye mazishi tu? Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi familia hukataa wanasiasa iwapo wanaamini wamewatelekeza in the hour of need...
Kuna dereva na mkereketwa wa ccm alikuwa akimwendesha mwenyekiti wa ccm mkoa anaumwa hapa jirani mbona sioni kukanyaga kiongozi yeyote wa ccm kutoa msaada au ndio mnasubiri azime?
 
Pamoja kiongozi wenu mkubwa katika nchi hii kuwa kanali mbona anaanguka kwenye majukwaa kisa anajitia kafunga kwani alilazimishwa Kama afya ni mbovu?

Binaadam hakuna aliyekamilika. Hata Slaa alidondoka Mwanza tena chooni na mpaka leo mkono umekuwa kilema au hujui hilo? Na yeye alikuwa kafunga kwaresima?
 
Nilikuwa najiuliza muda wote hivi hili jina nililisikia wapi? Kumbe ni enzi za Marehemu Dj Kalikali.

Wengi walimsimulia hyu Marehemu kwa chezaji yake na hiyo kofia. Sasa wewe ndiyo umenikumbusha.

RIP Kamanda. Ulichokipanda, Mungu atakimwagilia na kitakuwa na kuzaa mia kwa maelfu.

Back
Top Bottom