Famous quotes by Famous Tanzanians

"Badala ya kutumia helikopta ya jeshi kwenda nayo Urambo mlitaka nipande punda?" Kapuya

"Nimeshika mpini na lazima mjikombe" Mangapi

"Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua?" Wassira
 
"Kazi hii ni risk sana,kumsema mtu afu amekuangalia anaweza akakuloga ukaanguka ghafla na kufa"by John P. Magufuli.
 
My daily bread is construction and my education is engineering-Mbunge(kinyang'anyiro cha ubunge ktk bunge la afrika mashariki)
 
Nataka kila Mtanzania asome hadi kikomo cha akili yake- Mwalimu. What a lofty ideal rare among current crop of crook leaders.
 
1. Ni upepo tu Utapita- JK
2. Liwalo na Liwe- Pinda
3. Kudadaadeki- Lusinde
4. Mutasikitika sana kumpoteza waziri kama mimi- Nchimbi
5. Tanzania is made up of Ungaja zimbabwe and Tanganyika- Mlogo
6.......
7.........

Tumefika hapa tulipo..hii ni kwa sababu ya Uzembe wa Bunge, Upuuzi wa CCM na Udhaifu wa JK- Mnyika John Mnyika (Mbunge wa Ubungo-CDM)
 
Infwact ally alipigwa na kitu kizito kilichorushwa kutoka kusikojulikana-rpc morogoro
 
"Wanao sema sema kuhusu CHITALILO kuwa kagushi vyeti ni sawa na kelele za mlango ambazo hazimzuii mwenye nyumba kulala ndani" JK akiingilia uhuru wa mahakama.
 
I want to disillussion Tanzanians; Mandela is not free, Mandela is out of jail. Qoute Mwalimu.
 
niliwahi kuungwa mkono na kupendwa sana na wasomi kuna wakati udsm walinibeba nikiwa ndani ya gari na ikulu sikuiona. sembuse slaa na chadema ?- dr. lyatonga mrema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom