Famous quotes by Famous Tanzanians

Kikelelwa

Senior Member
Dec 14, 2010
176
124
1. Ni upepo tu Utapita- JK
2. Liwalo na Liwe- Pinda
3. Kudadaadeki- Lusinde
4. Mutasikitika sana kumpoteza waziri kama mimi- Nchimbi
5. Tanzania is made up of Ungaja zimbabwe and Tanganyika- Mlogo
6.......
7.........
 
Wasichana wanaobeba mimba mashuleni niviele ele vyao - J.K

Kama ni kura sitaki kura zenu - J.k akiwaambia waalimu

Hata mimi sijui kwa nini watanzania ni maskini J.K

M/kiti hakuna jambo nililofanya hukulijua, kila nilichofanya ulijua - Lowassa akimchana J.K
 
Niko tayari kuwaona Watanzania wanakula majani lakini ndege ya Rais inunuliwe". - Basil Pesambili Mramba
 
So far, quote zote ni za watu wa kundi fulani tu..they have one thing on common chama kimoja!

Anyway(back to the topic)

Nikijiuzulu hamtapata waziri mwingine kama mimi-Nchimbi

Serikali yetu imefika hapa ilipo kwa udhaifu wa Rais Kikwete- J.Mnyika!

Kuongezeka kwa magari(foleni) ni ishara ya maendeleo-JK
 
huyu dhaifu nae..hajui kua hapa bongo kuna magari kibao ya uwizi au siku hizi wizi ni maendeleo sio
 
Back
Top Bottom