Famine Ravages Through Somalia.

Somalia famine has killed '29,000 children'
Claim by US officials follows declaration of three new famine zones by UN and warning that more areas are vulnerable.

Last Modified: 05 Aug 2011 02:03

US officials say that the famine in Somalia has killed more than 29,000 children in the last 90 days.
Separately, the UN has declared that three new regions in Somalia are famine zones, making a total of five regions affected by famine thus far in the Horn of Africa country. The UN had said last month two regions were suffering from famine.
The Food and Agriculture Organisation (FAO), the UN's food arm, has said that famine is likely to spread across all regions of Somalia's south in the next four to six weeks.
Famine, as defined by the UN, refers to situations when at least 20 per cent of households face food shortages so severe that they are unable to cope with it and more than two people out of 10 000 people die daily.
Additionally, famine conditions are likely to persist until December, FAO said. Across Somalia, 3.7 million people are in crisis out of a population of 7.5 million, the UN says.
Al Jazeera's Peter Greste said that it was not just about getting food to Somalia but rather about getting nutritious food to the people suffering from famine.
"There is a real nutrition problem. They can get basic maize meal in here but that's not enough. There has to be nutritious food and that's simply not arriving," said Greste.

Al Jazeera

images
Starving-Somali-Child-AP.jpg
mediaManager
Aquellos-ninos...-los-que-no-ENGLISH-8.jpg

Halafu al-shabab wanasema hakuna njaa, ila ni propaganda za nchi za magharibi!!
 
Achana nao watu hawa! wamejitakia wenyewe. Maana UNO ilijaribu kuwa patatnisha lakini hawapatani. OAU ilipigania sana wapatane lakini hawataki. Marekani iliingia somalia na jeshi lake kutuliza fujo na kuleta amani.

Nchi za kiarabu zikamfanyia fitina ili aondoke. Sasa hao waarabu hataki kupeleka majeshi wala msaada wowte kwa wasomali. Nchi za ulaya magharibi zimeisha nyonda kuwasaidia wasomali zintaka nchi za kiarabu zijiingize, lakini wao hawataki. Sasa nani amsaidie msomali?

Shaabab ni kikundi cha wahuni tuu hakina hata maana lakini kinapata misaada ya siraha kutoka magaidi wa al qaida. Nani asumbuke tena kuwasaidia wasomali. Hii nchi mwisho itakuja gawiwa kenya , ethiopia na Sudan.
 
Hapa ndio nazishangaaga Nchi za Kiarabu

Wako tayari kutoa pesa za kujenga misikiti na madrassa lakini linapokuja swala la kibinaadam udhadhani hawa jamaa hawapo.Iko wapi saudi Arabi, Quarter, UAE?. Ni unafiki tu, nadhani lingekuwa swala linagusa dini yao wangekuwa mstari wa mbele katika kupiga makelele na maandamano. Waislam wenzao wanaangamia kwa njaa, Hutawasikia. Unafiki tu
 
Picha za Wasomali wanaokufa njaa zinaacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa nini wamama wa Kisomali wanaendelea kuzaa watoto wakati wakijua hawana means ya kuwatimizia watoto wao mahitaji muhimu? Kwa nini wasiache kuzaa? Au wanataka kuwashirikisha watoto wao umasikini na tabu zao?
 
Tufanye nini? ni rahisi kuingia internet, kusoma articles na kuzichambua, ni rahisi kuzicheka nchi za kiislam ila as tunacheka hapa watu wanakufa kweli. tuwe proactive and pragmatic zaidi. Kama una adress ya kikundi chenye record nzuri ambacho tunaweza kuchangia weka hapa watu watoe msaada.
 
nafikili huu ndio wakatimuafaka wa kuwasambalatisha al-shabaab, Vikosi vitoe chakula kwa kina mama na watoto tu, na kuwatwanga hao wapiganaji. wanaifanya nchi hii ionekane kama imelaaniwa.
 
Achana nao watu hawa! wamejitakia wenyewe. Maana UNO ilijaribu kuwa patatnisha lakini hawapatani. OAU ilipigania sana wapatane lakini hawataki. Marekani iliingia somalia na jeshi lake kutuliza fujo na kuleta amani.

Nchi za kiarabu zikamfanyia fitina ili aondoke. Sasa hao waarabu hataki kupeleka majeshi wala msaada wowte kwa wasomali. Nchi za ulaya magharibi zimeisha nyonda kuwasaidia wasomali zintaka nchi za kiarabu zijiingize, lakini wao hawataki. Sasa nani amsaidie msomali?

Shaabab ni kikundi cha wahuni tuu hakina hata maana lakini kinapata misaada ya siraha kutoka magaidi wa al qaida. Nani asumbuke tena kuwasaidia wasomali. Hii nchi mwisho itakuja gawiwa kenya , ethiopia na Sudan.

....hapo ndipo ule usemi wa BANIANI MBAYA (USA) KIATU CHAKE DAWA unapojidhihirisha.
watoto 29,000 kupoteza maisha in 3 months hili ni janga.
 
Where is Allah and Arabs?

Inawezekana wako huku kwa sasa https://www.jamiiforums.com/international-forum/161131-kenya-na-tatizo-la-njaa.html

Wakuu tuache udini katika issue kama hii.
Ethiopia ilipata pigo kama hili au tumesahau....we are the world, we are the children.

Hapa Tz pia njaa hututembelea katika baadhi ya maeneo na vifo hutokea.

Binadamu ni familia moja. Jikune unapojipata, toa ulichonacho kusaidia binadamu wenye shida na njaa.
Wasomali ni waafrika kama sisi.
 
I understand what you are trying to say, but why only Westerners? These muhammadans hate westerners. Why can't they do it by themselves? All the oil monies, why can't they help? WHERE IS Organization of the Islamic Conference (OIC)?
 
Kuna taasisi yoyote Tanzania inayokusanya michango ?

Tunaomba contacts.
 
Naangalia Anderson Cooper 360, kwa kweli hali huko Somalia sio nzuri ni balaa! Tatizo njaa ikiisha hawahawa wenye njaa watarudi kushika mtutu na kuendelea kuisupport Al shabab. Kazi kweli kweli
 
I understand what you are trying to say, but why only Westerners? These muhammadans hate westerners. Why can't they do it by themselves? All the oil monies, why can't they help? WHERE IS Organization of the Islamic Conference (OIC)?

I like the question, where are they?
 
Kuna wale ambao nchi ikitulia wanaenda kuivuruga nao wako wapi? halafu wakati mwingine angalieni hata hizo picha wanaoumia ni kina nani? Vile vidume vinavyoshika silaha unaviona hapo?
 
Hlafu watu kama akina Mugabe, Bashir wanaojiita/ wanaoitwa true sons of Africa huwezi kuwasikia kwenye masuala kama haya!!!!!!
 
I understand what you are trying to say, but why only Westerners? These muhammadans hate westerners. Why can't they do it by themselves? All the oil monies, why can't they help? WHERE IS Organization of the Islamic Conference (OIC)?

Wanajikokota. Mwendo wa jongoo.

Utawaona hapa

Istanbul to host emergency OIC meeting on African famine | Top News | Reuters

Mkuu njaa haina muhammadans.(!!!???) wala westerners wala easterners.....hapa TZ ukali wa mgao wa umeme wanaupata CCM peke yao?
 
Back
Top Bottom