Family Photo

Hahahahaha ona iyo suruali ya mR baraka ilipo valiwa......apo si tumboni kabisa
 
Dah umenikumbusha bakora tulizokuwa tunapigwa kwa ajili ya kuchora hiyo picha mpaka vitabu vikwa vinaharibika kwa sababu ya kugandamizia, duh!
 
Huyo ni Rosa na huyu Ni juma eeehh long sana.Na Kimbanga ampiga mkoloni..,Sadiki mimi maskini,msemakweli achaguliwa kuwa diwani eeehh nimekumbuka mbali sana..Daftari unapewa bure enzi hizo..
 
hadithi-ya-daudi-na-raza-pic-by-f-macha-e1307496913839.jpg
Inanikumbusha Mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Safi Sana Mr Daudi


Yaani nimekumbuka Viboko vya primary, duh kweli siku ikipita imepita.
 
Nimekumbuka kisa kimoja: Roza alikutana na rafiki yake Lucy; Mazungumzo yao yalikuwa hivi:

Lucy; Roza umefika Dar es salaam?

Roza: la sijapata kwenda, mjomba ameniambia Ijumaa nitakwenda naye Dar es salaam

Lucy: Basi ngoja nikuelezee. Dar es Salaam ni mji mkubwa sana, hakuna simba wala wanyama wakali kama huku kwetu.

Roza: Kuna nini zaidi

Lucy: Zipo nyumba ndefu na kubwa, magari, meli na magari ya moshi, pia maduka ni mengi.

Roza: Basi usiniambie mengi, nitakwenda kuona mwenyewe.

Lucy: Kwaheri Roza, msalimie kaka yako Juma na Rafiki yake Damasi.
 
Imenikumbusha enzi zile tunaimba ule wimbo "Are you sleeping x2, brother Musa x2, morning bell is ringing x2 ding dong ding x2"

Huu bado wanaimba kwenye academies. Ila kule kwenye shule za kina Kayumba sina uhakika.
 
<img src="http://kitoto.files.wordpress.com/2011/06/hadithi-ya-daudi-na-raza-pic-by-f-macha-e1307496913839.jpg?w=500&amp;h=666" border="0" alt="" />Inanikumbusha Mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Safi Sana Mr Daudi
<br />
<br />
Hahahahaha! Nakumbuka bhaaana!
 
mr daudi alikua ananipa raha upanga wa sarawili yake tu! kuna wimbo tulikua tunaimba chipukizi 'ccm tuongoze, sisi na vizazi vyetu. tuliokoe taifa,lishike uzi wa cha eeh. tupambane na magendo,rushwa na ulanguzi, tuliokoe taifa lishike uzi wa chama eeh!' masikini wa mungu,hatukujua kuwa uzi haushikiki milele,dah
hadithi-ya-daudi-na-raza-pic-by-f-macha-e1307496913839.jpg
Inanikumbusha Mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Safi Sana Mr Daudi
 
huo wimbo wa ar u sleeping tulikua tunaimba st kayumba banaa! na ule wa 'this is the way we brush our teeth, brush our teeth x3 early in the morning we brush our teeth!!''

Huu bado wanaimba kwenye academies. Ila kule kwenye shule za kina Kayumba sina uhakika.
 
hahaahhaahhah umenikumbasha mbali sana my dear

ile una sema "Elimu ni ufunguo wa maisha Shkaaaamoooo mwaaaalimu"...:)

ilianza "kwa juhudi na maarifa ndiyo msingi wa maendeleo shikaamoooo mwaaaalimuuu....
 
King'ast unakumbukumbu si mchezo nyimbo zote dah! ndio umenikumbusha This is the way we brush our teeth early in the morning Safi sana..

Are sleeping brother Musa Dah...

unapewa kitabu usome kwa sauti kubwa page nzima then unampa mwenzio aende next page

Unit 1 oi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom