family house inapangishwa vituka-airport

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,852
6,204
Heshima kwenu brothers and sister, nyumba ya familia zinapangishwa vituka-lumo (nyuma ya airport) maarufu kama kwa jimmy,

Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom, jiko stoo and sitting room, zipo mbili ndani ya fensi yenye parking ya kutosha gari zaidi ya 4 na eneo kubwa la kucheza watoto, kuna umeme na maji ya uhakika as ni kisima cha kisasa kimechimbwa sio ya kutegemea dawasco,,,
Bei ni laki 2 na nusu,,,,,

Dalali hatakiwi
 
Back
Top Bottom