Family friend

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Kuna baadhi ya watu utawasikia wakisema' huyu ni family friend', kuna mzoefu anajua faida au hasara za familyfriendship?
 
mmh naomba nisubiri kwanza watu wachangie nitarudi baadae. maana mimi najua faida chache ila madhara mengi
 
Faida na hasara za family friends zinategemeana na mambo mengi sana,mfano:nini misingi ya Ndoa yenu au mahusiano yenu. Misingi hiyo iko imara kiasi gani. Nini mtazamo wenu kuhusu hao family friends. Nini mipaka yenu,i.e.wapi family friends wanahusishwa na wapi hawahusishwi. Kuna wengine akisafiri tu madaraka yote kwa family friend kama vile alikuwa anaishi na mtoto ambaye hataweza kujihudumia. Sasa ikifikia hapo si inaleta balaa!
Kwa wale family friends wenye nia nzuri, no problem but still lazima kuwepo mipaka.
Ni mtazamo wangu tu.
 
faida na hasara za family friends zinategemeana na mambo mengi sana,mfano:nini misingi ya ndoa yenu au mahusiano yenu. Misingi hiyo iko imara kiasi gani. Nini mtazamo wenu kuhusu hao family friends. Nini mipaka yenu,i.e.wapi family friends wanahusishwa na wapi hawahusishwi. Kuna wengine akisafiri tu madaraka yote kwa family friend kama vile alikuwa anaishi na mtoto ambaye hataweza kujihudumia. Sasa ikifikia hapo si inaleta balaa!
Kwa wale family friends wenye nia nzuri, no problem but still lazima kuwepo mipaka.
Ni mtazamo wangu tu.
asante: Nimekuelewa
 
Mh!
Family friends wazuri kuwasaidia watoto kujifunza friendship!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom