Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
- Thread starter
- #21
mmh nadhani wazazi walikuwa na maana sana zoz daiz kutafutia watoto wao wachumba maana walitaka waoe au waolewe na koo wanazozifaham vyema,koo zisizo na tatizo la kifafa,uchawi,ugumba/tasa,albino(zoz daiz iliaminika ni laana)vichaa etc
My take: ni vyema kufahamu sana upande wa familia unayooa/kuolewa kabla ya watu kula pilau la harusi.,koo nyengine nuksi kila mume anaeoa baada ya mda flani anakufa,au unaoa/olewa na mtu fulani hakuna cha mafanikio kila ufanyalo nuksi tupu.
MKE/MUME MWEMA ANATOKA KWA BWANA,TUOMBE BILA KUCHOKA NA TUTAPEWA KWA WAKATI WAKE.
Dearest Pearl,
Huyu jamaa naye amekuwa na matatizo ya kiuchumi ghafla! Which makes me concur with you..