Familia zajifungia msikitini kukwepa sensa!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Familia tatu zimejifungia msikitini mkoani kibaha toka zoezi la sensa lianze wamesema wao ni waislam safi na hawako tayari kuinajisi dini ya mwenyezi mungu.

Amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kibaha imetoka ndani ya masaa 24 wawe wameondoka ,wamesema wao wanatetea haki za waislam wako tayari kufa na hawatatoka msikiti, wamekuwa wakipokezana kufuata mahitaji.
 
Familia tatu zimejifungia msikitini mkoani kibaha toka zoezi la sensa lianze wamesema wao ni waislam safi na hawako tayari kuinajisi dini ya mwenyezi mungu,Amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kibaha imetoka ndani ya masaa 24 wawe wameondoka ,wamesema wao wanatetea haki za waislam wako tayari kufa na hawatatoka msikiti, wamekuwa wakipokezana kufuata mahitaji.

Huyu DC naye ana akili kama zao؛‎ hizo familia tayari zimekwisha hesabiwa, yeye anahangaika nazo kwa nini?.
 
Familia tatu zimejifungia msikitini mkoani kibaha toka zoezi la sensa lianze wamesema wao ni waislam safi na hawako tayari kuinajisi dini ya mwenyezi mungu,Amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kibaha imetoka ndani ya masaa 24 wawe wameondoka ,wamesema wao wanatetea haki za waislam wako tayari kufa na hawatatoka msikiti, wamekuwa wakipokezana kufuata mahitaji.

WATASHANGAA siku wakitoka watakuta wacha MUNGU wa kiukweli tumepata vitambulisho vya uraia na ukaazi hivyo kustahili kupata huduma muhimu kwa urahisi. wao watahesabika kama wageni hivyo kulipia kila huduma mara mbili ya raia wa TZ.

AKIENDA KUSAJILI GARI gharama yake iwe mara tatu zaidi.
 
Familia tatu zimejifungia msikitini mkoani kibaha toka zoezi la sensa lianze wamesema wao ni waislam safi na hawako tayari kuinajisi dini ya mwenyezi mungu,Amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kibaha imetoka ndani ya masaa 24 wawe wameondoka ,wamesema wao wanatetea haki za waislam wako tayari kufa na hawatatoka msikiti, wamekuwa wakipokezana kufuata mahitaji.

Mkoa wa Kibaha upo wapi?
 
Si wawaulize majirani inatosha!!
 
naumia nikiona bado kuna watu wajinga kiasi hiki.Yaani uteseke kulala msikitini kisa kuhesabiwa.

Dawa ni moja tu,wale wasio hesabiwa hapana kupewa huduma za kijamii,kwa sababu hawako katika bajeti.Na vitambulisho viwe issued kwa wale waliohesabiwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom