Familia za JWTZ zisaidiwe: mwinyi.

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Waziri Mwinyi amewataka wa TZ kuzisaidia familia za askari wa jwtz wa kambi ya gongolamboto zilizo athiriwa na mlipuko wa mabomu. Source gazeti mwananchi.


My take : kuna tetesi kuwa wakati wa milipuko ya mabomu ktk kambi ya Gongolamboto familia za askari zilikuwa zimekwisha ondolowe kikosini sikumbili kabla.
 
Back
Top Bottom