Familia yenye raha kuliko zote

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
uzaziwampango.jpg

cheki mama anavyofurahia maisha
 
You should watch tv! This was on the news and oprah talk show. Oprah aliwapa kitita.

Wewe unanilaumu bure, jamani utaangalia Tv zote duniani. Vingine lazima vikupite. Ndio kama hivi nimepata ukweli. Mimi favorite Tvs ni CNN, aljazeera, BBC kwa za nje! zingine ni mara chache.
 
Hata bbc ilirushwa several times. Haikuwa kitu cha kawaida. Next time usibishe tu, thawaaa?
na mtoa mada anasema tu, sidhani kama ni raha kujaaliwa watoto wengi hivi at par! Mitihani ya Mungu tu,lol
 
Kweli kwa uchumi wa sasahivi hata mapacha mbili tu unkuna kichwa nilisema hivyo kwa kuwaangalia baba alivyojibumzisha na mama anavyoonjesha kufurahia kwa pembeni
 
Hata bbc ilirushwa several times. Haikuwa kitu cha kawaida. Next time usibishe tu, thawaaa?
na mtoa mada anasema tu, sidhani kama ni raha kujaaliwa watoto wengi hivi at par! Mitihani ya Mungu tu,lol

Sasa wewe unasema sio kitu cha kawaida! Hivyo mtu kubisha/kuwa na mashaka ni justified
 
Back
Top Bottom