Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni, Mama Meghji hakuhusika direct na EPA, kosa la huyu mama ni moja tuu, alidanganywa na kuidhinisha zile Bilioni 40 za Kagoda. Aliyemdanganya Mama Meghji ni Balali (RIP), baada ya kumuandikia dokezo kuwa fedha hizo zinahitajika haraka kwa kazi maalum ya Usalama wa Taifa, akaambiwa Ben alisharidhia na Mama Meghji akakross check na Boss wa TISS by then, Mzee akamthibitishia ni kweli fedha hizo zinahitajika kwa kazi maalum ya dharura. Mama had no way out akaidhinisha!.
Alitakiwa atilie mashaka transaction hiyo, kwani TISS wanapotaka fedha zozote, wanazonjia zao ambazo hutumia, kwa nini mama hakushtuka?. Kwa vile alifanya due diligence ya kuuliza ikulu akaambia ndio, akauliza TISS akaambiawa ndio, akajiridhisha bila kuwa na mashaka yoyote, fedha ikachotwa na ni kweli TISS ilihusika, Ikulu ilihusika na Ben personally alihusika, no wonder, Kagoda, will never be investigated more!.
Sakata la EPA lilipotinga bungeni, Mama Meghji alikiri kuwa alitanganywa, and that costed her uwaziri wake. JK alimdrop mama Meghji sio kutokana na kuhusika na EPA, au kutokana na makosa yake, bali ili lile tope la EPA lililomchafua Meghji, lisimchafue JK, na sasa ndio maana amemteua tena.