Familia ya Nd.Ally aliye uwawa na polisi kwa kupigwa risasi yaingia kwenye mvutano na Chadema

punguza kula migebuka kijana na bia za website.
Chadema mmestukiwa, mnaua halafu mnajipendekeza kusaidia shughuli za mazishi na kutupia lawama serikalini. Ole wenu siku yaja nayo i-karibu, mtaulizwa habari ya wangwe, rejia n.k. na mtakosa la kujibu.
 
kila mahali wanapopita chadema lazima damu imwagike.hiyo ni laana kuu

Damu ilimwagika Zanzibar January mwaka 2001, na kusababisha kwa mara ya kwanza katika historia wa-Tanzania kuwa wakimbizi nje ya nchi. Unakumbuka ?? Vipi Chadema walihusika??
Damu ilimwagika kwenye migodi ya dhahabu pale wachimbaji wadogo walipofukiwa wakiwa hai ili kupisha 'wawekezaji' !!
Hapo napo vipi ?? Chadema ilipita ??
Upo hapo ??
 
Chadema mmestukiwa, mnaua halafu mnajipendekeza kusaidia shughuli za mazishi na kutupia lawama serikalini. Ole wenu siku yaja nayo i-karibu, mtaulizwa habari ya wangwe, rejia n.k. na mtakosa la kujibu.

Mkuu ungeisaidia polisi ili hao CDM wanaoua rai washughulikiwe ungekuwa rai mwema. Wananchi wanajua mauaji ya raia wasio na hatia yanafanywa na polisi kwa msukumo wa siasa kutoka CCM. Kama hali hii itaendelea, Kwa mara ya kwanza kiongozi mstaafu wa ngazi ya juu kabisa atafikishwa mbele ya mahakama ya uhalifu wa kivita. Mtabisha lakini ukweli unabaki palepale
 
Chadema mmestukiwa, mnaua halafu mnajipendekeza kusaidia shughuli za mazishi na kutupia lawama serikalini. Ole wenu siku yaja nayo i-karibu, mtaulizwa habari ya wangwe, rejia n.k. na mtakosa la kujibu.
toka pepo magamba wewe
 
ndugu wa marehemu walikataa maiti ya ndugu yao ally kuwekwa hadharani, chadema walitaka kutumia msiba kufanya siasa, ndugu wakawaambia sheria ya dini yetu hairuhusu kuaga maiti kama hamtaki anza mbele. wakaondoka kuelekea iringa kufanya vurugu wapate maiti nyingine.

CUF nacho chama lala mbele
 
Aliyerubuniwa na Magamba ni shemeji wa Marehemu Ally. Yeye pia ndo msemaji wa familia. Nimemdharau sana yule mzee. Tena yeye ndo alikuwa anakwamisha zaid CHADEMA wasitoe chochote ili alalame.. Ushahd wa video alipokuwa anapewa rambiramb upo wazi kabisa.

Huyo ni sawa na tomatho atatumika kazi ikiisha mambwepande inamusubili wenzetu wanajuwa kutumia na kutupa
 
Chadema mmestukiwa, mnaua halafu mnajipendekeza kusaidia shughuli za mazishi na kutupia lawama serikalini. Ole wenu siku yaja nayo i-karibu, mtaulizwa habari ya wangwe, rejia n.k. na mtakosa la kujibu.

we nahis hujitambui!nahs ukiulizwa nani rais wa sasa utasema ni Mwalim nyerere.
 
Back
Top Bottom