Familia ya mzee kingunge yaumbuliwa na halmashauri ya jiji

Wakulaumiwa ni viongozi wa CCM kwani ndani ya CCM kuna Mafisadi wengi na wengi wao ni Vigogo hatuwezi kuwataja hapa JF wanajijuwa hao wenyewe kinachotakiwa wakati wa uchaguzi ujao CCM iondoke kije chama kipya kitakacho weka usawa wa haki kwa watu wote inshallah Mungu ibariki Tanzania na uwabariki wananchi wa Tanzania Ameen

wazo lako zuri kweli mkubwa!!!!usikate tamaa ...ila litachukua muda
IF U CANT 'M JOIN'M
 
Naogopa kusema lakini. Tanzania ni kama Mnyama wa porini aliyeuwawa na bwana nyama. Mwenye kisu haya! mwenye Shoka haya!mwenye panga haya. sisi tusio na vifaa vyenye makali Tulie tuna kuendelea kupiga makelele kama tunavyofanya hapa JF!
 
Serikali inajua wazi kabisa kuwa inquiry inatakiwa kufanywa ili kujua kama kweli hela walizokabidhi kwa serikali ndizo walizotakiwa kukabidhi, na kama mapato wanayosema walikusanya ndiyo waliyokusanya.

Lakini unaweza kushangaa inaishia hapo tu, kumnyang'anya mwizi na kutomfikisha mahakamani. This is Tanzania. Kingunge hoyee.
 
Back
Top Bottom