Familia ya Mkapa kwenye kashfa nyingine

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Anna Mkapa bingwa wa kuchuma asipopanda aliyeiachia ikulu yetu uchafu wa ajabu unaoendelezwa na Salma Kikwete. Hivi karibuni mkaguzi mkuu wa fedha za serikali (CAG) alitoa taarifa ya ukaguzi wa fedha za serikali na kugundua madudu mengi mojawapo yakiwa kashfa ya wizi wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na familia ya rais mstaafu Benjamin Mkapa.

CAG ameonyesha wasiwasi mkubwa kwa uamuzi wa CHC wa kufuta madeni mengi ya iliyokuwa kampuni ya Simu 2000. Kampuni hiyo iliundwa na kuongozwa na familia ya Mama Anna Mkapa, kwa ajili ya kuuza zilizokuwa mali za Shirika la Posta na Simu. Kuna habari kwamba familia hiyo ilijitwalia mali kadhaa zenye thamani ya mabilioni ya shilingi.

Miongoni mwa majengo yaliyouzwa ni maghorofa yaliyopo Ilala. Kwa wanaokumbuka Anna Mkapa alivyomchafua mumewe kwa kumfundisha wizi hawashangai. Huenda kuna mengi ambayo bado hayajulikani. Nani mara hii kasahau jinsi kaka zake Anna walivyopewa uuzaji wa iliyokuwa benki ya biashara (NBC) wakishilikiana na kampuni ya kijambazi ya Net Solution Group ya Afrika Kusini?

Nani mara hii kasahau wizi ulioasisiwa na Anna wa kuunda NGO na kujitajirisha kupitia mgongo wa ikulu unaoendelezwa na Salma Kikwete? Nani mara hii kasahau ujambazi wa wazi wa Mkapa, familia yake, marafiki na vivyele wake uliohusisha kujitwalia mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira? Je ni siku gani wezi hawa wenye madaraka watafikishwa mbele ya haki kabla ya kuonja mauti?
 
Anna Mkapa bingwa wa kuchuma asipopanda aliyeiachia ikulu yetu uchafu wa ajabu unaoendelezwa na Salma Kikwete. Hivi karibuni mkaguzi mkuu wa fedha za serikali (CAG) alitoa taarifa ya ukaguzi wa fedha za serikali na kugundua madudu mengi mojawapo yakiwa kashfa ya wizi wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na familia ya rais mstaafu Benjamin Mkapa. CAG ameonyesha wasiwasi mkubwa kwa uamuzi wa CHC wa kufuta madeni mengi ya iliyokuwa kampuni ya Simu 2000. Kampuni hiyo iliundwa na kuongozwa na familia ya Mama Anna Mkapa, kwa ajili ya kuuza zilizokuwa mali za Shirika la Posta na Simu. Kuna habari kwamba familia hiyo ilijitwalia mali kadhaa zenye thamani ya mabilioni ya shilingi. Miongoni mwa majengo yaliyouzwa ni maghorofa yaliyopo Ilala. Kwa wanaokumbuka Anna Mkapa alivyomchafua mumewe kwa kumfundisha wizi hawashangai. Huenda kuna mengi ambayo bado hayajulikani. Nani mara hii kasahau jinsi kaka zake Anna walivyopewa uuzaji wa iliyokuwa benki ya biashara (NBC) wakishilikiana na kampuni ya kijambazi ya Net Solution Group ya Afrika Kusini? Nani mara hii kasahau wizi ulioasisiwa na Anna wa kuunda NGO na kujitajirisha kupitia mgongo wa ikulu unaoendelezwa na Salma Kikwete? Nani mara hii kasahau ujambazi wa wazi wa Mkapa, familia yake, marafiki na vivyele wake uliohusisha kujitwalia mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira? Je ni siku gani wezi hawa wenye madaraka watafikishwa mbele ya haki kabla ya kuonja mauti?

Hapo kwenye bold, ipo siku hawa wote watafikishwa mbele ya haki, kama si hapa duniani basi hata mbele ya Mola watajibu mashtaka! Tena huko ndio kuzuri maana hakutakuwa na Wanamtandao, kujuana, Rais hatateua Jaji, yaani ni kukutana na "Jaji" usiyemtarajia wala kumjua! So, be patient... God is still at work!
 
Mkurugenzi Mkuu wa PPF bw. William Erio Mkapa anafisidi PPF naye ni mpwa wa Benjamini William Mkapa. Hii mbegu ni mbaya mno kwa ufisadi. Kama hii mbegu ingekuwa punje za mahindi, ningezikaanga kwa moto mkali kabla ya kuzitupa jalalani ili zisije zikaota huko jalalani maana hata kuzila hazifai.

Mungu wetu tunakuomba ushuke uishughulikie hii familia ili ikurudie na kutubu. Kama hawataki kutubu hizi dhambi zao, basi kwa kuwa ni viumbe wako "MAPENZI YAKO YATIMIE"
 
Anna Mkapa bingwa wa kuchuma asipopanda aliyeiachia ikulu yetu uchafu wa ajabu unaoendelezwa na Salma Kikwete. Hivi karibuni mkaguzi mkuu wa fedha za serikali (CAG) alitoa taarifa ya ukaguzi wa fedha za serikali na kugundua madudu mengi mojawapo yakiwa kashfa ya wizi wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na familia ya rais mstaafu Benjamin Mkapa. CAG ameonyesha wasiwasi mkubwa kwa uamuzi wa CHC wa kufuta madeni mengi ya iliyokuwa kampuni ya Simu 2000. Kampuni hiyo iliundwa na kuongozwa na familia ya Mama Anna Mkapa, kwa ajili ya kuuza zilizokuwa mali za Shirika la Posta na Simu. Kuna habari kwamba familia hiyo ilijitwalia mali kadhaa zenye thamani ya mabilioni ya shilingi. Miongoni mwa majengo yaliyouzwa ni maghorofa yaliyopo Ilala. Kwa wanaokumbuka Anna Mkapa alivyomchafua mumewe kwa kumfundisha wizi hawashangai. Huenda kuna mengi ambayo bado hayajulikani. Nani mara hii kasahau jinsi kaka zake Anna walivyopewa uuzaji wa iliyokuwa benki ya biashara (NBC) wakishilikiana na kampuni ya kijambazi ya Net Solution Group ya Afrika Kusini? Nani mara hii kasahau wizi ulioasisiwa na Anna wa kuunda NGO na kujitajirisha kupitia mgongo wa ikulu unaoendelezwa na Salma Kikwete? Nani mara hii kasahau ujambazi wa wazi wa Mkapa, familia yake, marafiki na vivyele wake uliohusisha kujitwalia mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira? Je ni siku gani wezi hawa wenye madaraka watafikishwa mbele ya haki kabla ya kuonja mauti?

huna kazi
 
Kazi ninayo tena kubwa tu. Mimi siendi kwenye internet cafe kubrowse bali ofisini kwangu kila nipatapo fursa namwaga vitu. Isitoshe kwa mtafiti kama mimi hii ni sehemu ya kazi yangu. Kwa hiyo adobe usiwe na shaka juu ya mke na watoto wangu watakula nini. Ukitaka kujua mie ni nani tembelea blog yangu utajua vizuri. Siandikii shida wala kukosa kazi.
 
Ndio tabu ya wabongo ukisema kweli wanaona huna kazi....hao ni wanafiki wakubwa wamezoea kuona watu wanafagilia mafisadi na kupewa sifa za kijinga. Endelea kaka na kazi ya kuelimisha jamii na kuwafichua hao wanaokula jasho la wananchi.
 
Inatia uchungu watanganyika wezi sana!
suluhisho ni kuwapa uongozi wazanzibar tu.
Wazanzibari? Mwinyi alitufanyaje alipokuwa Ikulu? Hussein katajirikaje na ndugu zake wengine kama siyo kufisidi hii nchi?
Wazanzibari? Hapana. Tuwachukulie hatua mafisadi wote kuanzia Mwinyi, mkewe na wanae na wote bara, akiwemo Mkapa, mkewe na Kikwete, mkewe na wanae.
 
Anna Mkapa bingwa wa kuchuma asipopanda aliyeiachia ikulu yetu uchafu wa ajabu unaoendelezwa na Salma Kikwete. Hivi karibuni mkaguzi mkuu wa fedha za serikali (CAG) alitoa taarifa ya ukaguzi wa fedha za serikali na kugundua madudu mengi mojawapo yakiwa kashfa ya wizi wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na familia ya rais mstaafu Benjamin Mkapa. CAG ameonyesha wasiwasi mkubwa kwa uamuzi wa CHC wa kufuta madeni mengi ya iliyokuwa kampuni ya Simu 2000. Kampuni hiyo iliundwa na kuongozwa na familia ya Mama Anna Mkapa, kwa ajili ya kuuza zilizokuwa mali za Shirika la Posta na Simu. Kuna habari kwamba familia hiyo ilijitwalia mali kadhaa zenye thamani ya mabilioni ya shilingi. Miongoni mwa majengo yaliyouzwa ni maghorofa yaliyopo Ilala. Kwa wanaokumbuka Anna Mkapa alivyomchafua mumewe kwa kumfundisha wizi hawashangai. Huenda kuna mengi ambayo bado hayajulikani. Nani mara hii kasahau jinsi kaka zake Anna walivyopewa uuzaji wa iliyokuwa benki ya biashara (NBC) wakishilikiana na kampuni ya kijambazi ya Net Solution Group ya Afrika Kusini? Nani mara hii kasahau wizi ulioasisiwa na Anna wa kuunda NGO na kujitajirisha kupitia mgongo wa ikulu unaoendelezwa na Salma Kikwete? Nani mara hii kasahau ujambazi wa wazi wa Mkapa, familia yake, marafiki na vivyele wake uliohusisha kujitwalia mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira? Je ni siku gani wezi hawa wenye madaraka watafikishwa mbele ya haki kabla ya kuonja mauti?

Ashakum si matusi! Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mtoto wa Kimasai anabaki mmasai. Kamwe simba hawezi kumzaa kondoo. Nzee Nkapa ni victim na anajutia kwa yanayomsibu.

Kitu kingine Nzee Nkapa utamaduni wa kwao wa Matrinia ndio uliomponza badala yake angejifunza mfumo wa patrinia ambao ndio alikokulia mkewe. Kwa vyo vyote yanayojilia katika familia ya Nzee Nkapa kwa jicho la upembuzi ni mtoto wa nyoka ni nyoka tu hata umvishe nguo ataichubua atakapojichubua ngozi yake.
 
Kazi ninayo tena kubwa tu. Mimi siendi kwenye internet cafe kubrowse bali ofisini kwangu kila nipatapo fursa namwaga vitu. Isitoshe kwa mtafiti kama mimi hii ni sehemu ya kazi yangu. Kwa hiyo adobe usiwe na shaka juu ya mke na watoto wangu watakula nini. Ukitaka kujua mie ni nani tembelea blog yangu utajua vizuri. Siandikii shida wala kukosa kazi.

Word up Mpayukaji! But sometimes you need to be careful about that weed stuff and all before decidng to go online with your "elevated state of mind" and shit, maana kuna wakati mwingine you seem to be so carried away in your zeal against the powers that be, and ultimately end up not making much sense at all. Ya dig?
 
Anna Mkapa bingwa wa kuchuma asipopanda aliyeiachia ikulu yetu uchafu wa ajabu unaoendelezwa na Salma Kikwete. Hivi karibuni mkaguzi mkuu wa fedha za serikali (CAG) alitoa taarifa ya ukaguzi wa fedha za serikali na kugundua madudu mengi mojawapo yakiwa kashfa ya wizi wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na familia ya rais mstaafu Benjamin Mkapa. CAG ameonyesha wasiwasi mkubwa kwa uamuzi wa CHC wa kufuta madeni mengi ya iliyokuwa kampuni ya Simu 2000. Kampuni hiyo iliundwa na kuongozwa na familia ya Mama Anna Mkapa, kwa ajili ya kuuza zilizokuwa mali za Shirika la Posta na Simu. Kuna habari kwamba familia hiyo ilijitwalia mali kadhaa zenye thamani ya mabilioni ya shilingi. Miongoni mwa majengo yaliyouzwa ni maghorofa yaliyopo Ilala. Kwa wanaokumbuka Anna Mkapa alivyomchafua mumewe kwa kumfundisha wizi hawashangai. Huenda kuna mengi ambayo bado hayajulikani. Nani mara hii kasahau jinsi kaka zake Anna walivyopewa uuzaji wa iliyokuwa benki ya biashara (NBC) wakishilikiana na kampuni ya kijambazi ya Net Solution Group ya Afrika Kusini? Nani mara hii kasahau wizi ulioasisiwa na Anna wa kuunda NGO na kujitajirisha kupitia mgongo wa ikulu unaoendelezwa na Salma Kikwete? Nani mara hii kasahau ujambazi wa wazi wa Mkapa, familia yake, marafiki na vivyele wake uliohusisha kujitwalia mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira? Je ni siku gani wezi hawa wenye madaraka watafikishwa mbele ya haki kabla ya kuonja mauti?

NOW it is a time for street justice, wakipita uswazi ni kuwatukana na kuwapopoa kwa mawe kama Vasco da Gama baba Mwanaasha alivyofanywa Chunya Mbeya. Mahakama zinawaogopa sana mafisadi
 
Ndjabu umenionea na unapaswa kuniomba radhi kabla sijamwambia mod akupige pini.
 
Mkurugenzi Mkuu wa PPF bw. William Erio Mkapa anafisidi PPF naye ni mpwa wa Benjamini William Mkapa. Hii mbegu ni mbaya mno kwa ufisadi. Kama hii mbegu ingekuwa punje za mahindi, ningezikaanga kwa moto mkali kabla ya kuzitupa jalalani ili zisije zikaota huko jalalani maana hata kuzila hazifai.

Mungu wetu tunakuomba ushuke uishughulikie hii familia ili ikurudie na kutubu. Kama hawataki kutubu hizi dhambi zao, basi kwa kuwa ni viumbe wako "MAPENZI YAKO YATIMIE"
Nimeipenda hii mkuu,,,namalizia na ''...amen'''''
 
Back
Top Bottom