Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

Mkuu pasco.

Nimekutafuta sana toka jana kwenye thread hapa jf za maandamano na kupigwa makanjanja wenzako sijakuona ila imekuja thread ya laigwana umekimbilia fasta je kashfa ya lowasa na kupigwa waandishi wenzako ipi inakuadhiri zaidi?? Nilitegemea ungekuwa bega kwa bega na waandishi wenzako ila kimya hata comment hutupii kwenye thread zote ila hii ya mzee wa bahasha tena kubwa ya a4 umechepuka fasta.

Waandishi mnamuona mwenzenu pasco kawatosa huko yuko kwenye thread ya lowasa??

By the way nini msimamo wako kuhusu makanjanja wenzako na kipigo cha polisi?

Otherwise good morning



mkuu fumbo, asante kwa hii, naunga mkono hoja, ila ukawa, inakabiliwa na matatizo makuu mawili.
  1. its only a "marriage of convenience", wameungana kwa conveniences za katiba, conveniences hizi zikiisha, ni kila mtu na lwake!.
  2. hata wakiamua rasmi sasa washirikiane kiukweli kusimamisha mgombea mmoja, its still very unfortunately hawana mtu to march mgombea wa ccm, endapo ccm itaamua kumsimamisha yule "the one and only!" best they have!. Kama ile kutangaza tuu "naianza safari!", kuta zote za siasa za 2015 zimetetemeka!, atakapoianza rasmi, who will dare stand on his way?!. By now we all know the best from ccm, haws ukawa wan a nani hata wa kufikirika tuu na uwezo wa kuchagulika ili kuanzia sasa awe groomed?!. They have none!, no one!.

thanks.

Pasco
 
SIASA yataka Moyo Hasaa

Membe ni shushushu hatari sana.Limebobea katika fani ya character assassination,muulizeni Salim Ahmed Salim mtapata jibu.Kufiia 2015 EL atakua ndembendembe.

Hii wizara anayoiongoza inampa mamlaka ya kuandikia barua serikali yoyote na kumfuatilia mtanzania yoyote kwa kutumia data zake za kishushushu,atabomoa wapinzani wake wengi tu
 
billion 5?? guys hampo serious, billion tano ata mtoto wa Jk wa form four anazo sembuse Lowassa?
ccm ni kichaka cha mafisadi, ila kwa sasa wana baguwana na kuchafuwana....thread imekaa kishabiki, kimbea,kizandiki,kinafiki,kimipasho...tunajuwa lowassa ana maadui wengi,lengo la thread hii ni kumchafuwa.Hakika ndani ya ccm hakuna anaweza kumnyooshea lowassa kidole..

Nashangaa,madiwani wa ccm hawakosi billion tano,acheni.kumwandama lowassa ebooo
 
Hahahahaha watu humu bana, naona vijana wa Membe na WAMA project mumechanganyikiwa kwa sasa...Lowassa anawatoa udenda this time....kama billion tano vipi Riz one za ela zake la lake oil, Home shoping centre, majumba kibao hapa mjini, Rhino cement mtoto mdogo kama yule ametoa wapi? Na tunasikia hata yule mzungu aliyefia juzi Mayfare plaza alitoka china kuhusu zile diliiiiiiiiii malizia mwenyewe....

Lowassa anawapa heart attack,na hii ni tela picha kamili inakuja,lazima wapate hearf fail mwaka huu
 
Anachosema nikwamba lile fisadi no1tz limehojiwa litoe maelezo liliko pata fedha zote hizo uk wanajua ni jizi pasco na wenzie wanalitetea hawana huruma na nchi hii,matumbo yao yameziba macho na ubongo.

Fisadi namba moja ni huyo mkwe aliyetokomea na fedha za escrow pamoja na wakwe zake na familia nzima
 
Kama billion 1 ni vijisenti, hata billion 5 ni vijisenti. Hapa hakuna hoja yenye mashiko. After all haya ni ma.vi ya kale ambayo hayanuki. Chagua ndani ya chama tawala asiye na billion hata moja umtaje hapa.
 
Lowassa ni kielelezo cha kiongozi fisadi asiye na maadili. Hafai kuwa hata Rais wa TFF. Kama mnataka mchapa kazi CCM chagueni Dr. John Pombe Magufuli (chaguo la wananchi) au Dk. Harisson Mwakyembe (jembe). Achana na Lowassa ambaye kajilimbikizia mali kwa kupitia ofisi za umma na ameliingiza taifa kwenye majanga ya Richmond/Dowans.
 
Labda siku upinzani wakimweka mgombea wao Tundu Lissu au Gagnija. Those are the only two I know that can deal with these thugs.

Usiwe mvivu wa kufikili lissu anajua nini sasa anzia Jimboni kwake kunielezea ovyooooooooo
 
Kweli lowasa ni mwizi, sijui niseme alikuwa mwizi;

Hata hivyo akiamua kugombea urais atapata tu;
upinzani bado sana kuweza kukabidhia nchi.
 
Hii stori ya kitambo kweli kweli,acha tuangalie tamthiliya inavyoendelea.Madirector wa tamthiliya wamekuwa wengi jf. Ocampo four na Chabruma njooni huku muongozee nyama au mtoe nyama.
 
You are right, magamba yanapambana na kukanyagana na 'kunyongana' ile mbaya.

Majuzi tu tuliisoma ile list ya vigogo ambao 'wamegawana' zile bilioni 200 za Escrow account, ambapo almost haikuacha mgombea yeyote, miongoni ya wagombea wa magamba waliotangaza nia ya kugombea urais, mwaka 2015, except jina la mzee wa mamvi ndilo pekee lililomiss kwenye hiyo list of shame!

Leo hii tunapewa 'Breaking News' kuwa mzee wa mamvi ahojiwa na kitengo cha SFO cha Uingereza, kuhusiana na kumshuku kuwa nyumba zake 2 zilizoko UK, kuhisiwa kuwa zimenunuliwa na 'vijisenti vichafu'

Hata hivyo imenenwa kuwa vita ya panzi furaha ya kunguru, na pia imenenwa waache wafu wajizike wenyewe!

Kutokana na hali hiyo, it is obvious that, there is no single presidential candidate, from CCM camp who is at least 10% clean!

Kwa maana hiyo jinsi 'mnyukano' huo wa wenyewe kwa wenyewe, unavyozidi kupamba moto, ndivyo ambavyo hao wagombea wa magamba, kwa kujua au kutokujua, wanavyozidi, kumsafishia njia UKAWA PRESIDENTIAL CANDIDATE kuelekea Magogoni in the year 2015!

Mkuu Fumbo, asante kwa hii, naunga mkono hoja, ila UKAWA, inakabiliwa na matatizo makuu mawili.
  1. Its only a "Marriage of convenience", wameungana kwa conveniences za Katiba, conveniences hizi zikiisha, ni kila mtu na lwake!.
  2. Hata wakiamua rasmi sasa washirikiane kiukweli kusimamisha mgombea mmoja, its still very unfortunately hawana mtu to march mgombea wa CCM, endapo CCM itaamua kumsimamisha yule "The One and Only!" best they have!. Kama ile kutangaza tuu "naianza safari!", kuta zote za siasa za 2015 zimetetemeka!, atakapoianza rasmi, who will dare stand on his way?!. By now we all know the best from CCM, haws UKAWA wan a nani hata wa kufikirika tuu na uwezo wa kuchagulika ili kuanzia sasa awe groomed?!. They have none!, no one!.

Thanks.

Pasco[/QUOT


'''Hakuna shetani ila CCM na viongozi wa nchi hii'''
Hawa ndio wanaowadhulumu wanyonge.
Ndio wanaosababisha umaskini mkubwa na watu kumkufuru mwenyezi Mungu.
Ndio wanaotawala kwa mabavu na kuuwa waandamanaji na waandishi wa habari wasio na hatia.
Hawa ndio wanaolalamikiwa kwenye maisha ya binadmu wengi kuliko hata Lusifer.
Hawa ndio wanaotumia vibaya utajiri tuliopewa bure na mwenyezi Mungu ili tugawane sawa kwani hakuna aliyeuleta ila ni neema ya Mungu kwa watanzania.

Hawa ndio wanaopenda kutukuzwa kama Mungu na kuwadharau viongozi wa dini kwa vitisho.
Hawa ndio wanaotumia mbwa kuwadhuru waandishi wa habari wakiwa na kalamu na karatasi huku wauza madawa ya kulevya wakipigiwa saluti na heshima za kila namna.

Hawa ndio wanaowatoza wafuaji kodi ya ng'ombe kabla ya kuuzwa hata kama ng'ombe wana magonjwa.

Hawa ndio wanaowagawa watanzania kimadhehebu,kidini ,kikanda ,kiumri ,kiitikadi na kikabila alimradi tu waendelee kutawala.

Hawa ndio walioondoa sheria ya maadili na utu kwenye rasimu.
Hawa ndio waasisi wa kero zote za rushwa ,ufisadi na kila aina ya dhulma.

Hawa ndio wanaoendelea kumpa rais madaraka makubwa juu ya wanadamu kuliko Mungu;ndio maana Kamuhanda alipoasisi kifo cha Mwangosi alipongezwa na kupandishwa cheo jambo ambalo kwa Mwenyezi Mungu sio sahihi.

Hawa ndio wanaotumia pombe na sigara kuendesha bajeti ya nchi na kuacha utajiri tuliopewa na Mungu uporwe na wageni.
Hawa ndio ambao mtu akitoa taarifa za kiongozi mbaya ,mlalamikaji anashughulikiwa mwenyewe.

Hawa ndio waliokataa kuunda tume ya kuchunguza kashfa ya IPTL na wizi wa b.200 kwa sababu tu wezi walikua ni kundi la watawala na marafiki zao.
n.k.n.k.n.k.

Nasisitiza tena kwa kusema '''Hakuna shetani ila CCM na viongozi wa nchi hii'''

NINI CHA KUFANYA:
Tumuombe Mungu ili Ufalme wake uje na ufalme wa shetani uondoke.

Mtu anayejiona kwamba yuko tayari kugombea urais na kuwatumikia watanzania kwa moyo wote ajiondoe huko CCM na kujiunga na wananchi wanyonge kama ishara ya kufanya toba .

Tunamtaka rais aliyetumwa na watanzania ili asimamie hoja,maoni na matumaini ya watanzania sio rais aliyetumwa na wazee au vijana au wanawake,au kikundi fulani cha dini au kabila lake au mataifa fulani kwa lengo la kutekeleza matakwa yao.
 
Mbona sioni source ya hii story tafadhali mwenye nayo atuwekee hapa.
 
source ya hii habari please maana info nyeti kama hizi zinahitjai pia uthibitisho wa chanzo!!
 
Mkuu Pasco, nakubaliana nawe kwa your observation kuwa kuibuka kwa ukawa ni 'marriage of convenience'
ambayo imetokana na agenda ya katiba, ambayo 'imewalazamisha' kuwa wamoja!

Hata hivyo ukumbuke pia imenenwa shari yaweza kuwa mwanzo wa heri.

Tukumbuke pia kuwa tokea mfumo wa vyama vingi urejeshwe tena nchini, mwaka 1992, the biggest obstacle, kwa opposition camp, kutofanya vizuri kwenye chaguzi zote kuu zilizofanyika hapa nchini, ni kwa kila mpinzani, kwenda 'kivyake'

Iwapo kipindi hiki, hao ukawa huo umoja wanaotuhubiria, utakuwa unatoka ndani ya mioyo yao, basi tutaamini wapinzani this time, wameshushiwa ufunuo toka juu mbinguni, kwa Mungu wetu, na hiyo itakuwa the biggest step ambayo wapinzani 'wamethubutu' kuifanya since year 1992.

Kuhusu ukawa kuwa hawana 'suitable' candidate wa kumatch na mgombea 'the special and the only one' kutoka kambi ya magamba , na kwa jinsi ninavyokufahamu Pasco, naamini. hapo utakuwa unamaanisha mzee wa mamvi, kwa kuwa huyo kwako ndiyo your favourite.

Kuhusu kuwa hadi sasa ukawa hawana Presidential Material, wa kuweza kupimana 'ubavu' na wa CCM, hapo naweza kudiffer nawe kidogo, kwa kuwa anaweza kuibuka mgombea from nowhere na hatimaye akaibuka shujaa, kwa kuwa kwenye politics, kitu pekee kinachodetermine umaarufu wa mtu, ni mtitririko wa matukio kwa kipindi husika.

Kwa hiyo Let us wait and see, time will tell.



Nakubaliana na wewe 100%.
Ukawa iliibuka ndani ya siku 60 na imekua ni tishio kwa wadhulumaji na wote waliokataa katiba bora.
Hivyo naamini kabisa kuwa ndani ya siku zipatazo 390 kuelekea uchaguzi mkuu kitatokea kitu zaidi na kuimarisha UKAWA na kudhoofisha CCM ibaki mifupa mitupu na kuupoteza kabisa huu utawala wa kibabiloni mama wa mabaya yote.

''Aliyeiimarisha CCM ndiye atakayeiangamiza''
 
Back
Top Bottom