Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Hawa jamaa wako selfish halafu ulimbukeni unawasumbua sana. Sio kwamba wana uwezo wa uongozi kihivyo ila ni basi tu. Kuliwahi kutokea tetesi eti wanasema kutesa kwa zamu na sasa ni zamu yao kutesa. Bahati nzuri bado miaka mitatu tu ya kutesa, baada yahapo watatafuta kwa kwenda. Hizo passport mbili wazitafute mapema kwani baada ya 2015 hawna lao TZ. Si kutesa kwa zamu bwana.
Leo hakuna kurara....kwi kwi kwi!.Bagamoyo imekuwa kama inamilikiwa na ze kikwetez.
Leo hakuna kurara....kwi kwi kwi!.
Bora sisi wavuvi ndo tunaamka, tunazimua na wine aina ya "Pinot Noir".umekata Yego, nanywea mvinyo nisinzie huku nikiwasoma chama cha vikwete-CCV ya Bagamoyo! huh
Hawa jamaa wako selfish halafu ulimbukeni unawasumbua sana. Sio kwamba wana uwezo wa uongozi kihivyo ila ni basi tu. Kuliwahi kutokea tetesi eti wanasema kutesa kwa zamu na sasa ni zamu yao kutesa. Bahati nzuri bado miaka mitatu tu ya kutesa, baada yahapo watatafuta kwa kwenda. Hizo passport mbili wazitafute mapema kwani baada ya 2015 hawna lao TZ. Si kutesa kwa zamu bwana.
Tatizo lao ni kwamba licha ya kuwa waroho wa madaraka ni vipofu wasiofikiria ya kesho. Laiti wangejifunza toka kwa Sumaye na jinsi anavyoaibika na kupondeka!
Hakuna rais atakayeumia baada ya kuachia ngazi kama huyu Kikwete. Anaishi kama kijana asiyejue kuna kesho maskini. Ukiangalia mke wake ndiyo usiseme. Huyo mwanae Riz sijui alisomea sheria ipi? Maana anashindwa kutumia akili ya kawaida achana na usomi wa kisheria.
Siku arobaini yao ikifika watasaidiana kutupa mtondoo gerezani.
Hapana, wasije kusema hatukuwaonya, Mwinyi alikuwa Rais lakini alitandikwa kibao na kijana tu pale Diamond Jubilee kwa sababu Mwinyi hayuko kwenye Power tena, na wasisahau Gaddafi alivyosokomezwa vijiti vya makalioni na wale vijana waliomkamata.Jaribu kumeza mengine, umeanika mno mdau.