Familia ya Kikwete yachafuliwa: Yadaiwa kufanya biashara na waarabu

Mh!
Kuna kaharufu ka ukweli hapa!
Wewe unafikiri ni mchezo kwa Rais wetu kusafiri kutoka Bongo mpakaSouth Africa kwenda kumsalimu mkubwa wa HSC aliyejeruhiwa na tindikali wakati waliojeruhiwa na mabomu hapa Arusha hajawahi hata kuwapa pole?
Hilo haliwezekani bila ya kuwa na maslahi naye!!!
 
Hivi na yule aliye mwagiwa tindikali ni wa Home shopping centre? au.............lazima kuna midudu mingi tusoijua......:angry:
 
Issue hapa sio kufanya biashara. Hawa jamaa wanapitisha makontena kwa Tsh 1,500,000 contena la nguo. Huko china wanakwambia ukileta mzigo wanakuchaji kwa cbm na hawakupi risiti ya aina yoyote ukikamatwa na huo mzigo ni shauri yako.
Kuna Maneja mmoja wa pale longroom anaitwa kahise aliondolewa kwasababu alikamata contena lao. Maofisa wote wa forodha wanamjua na anatumia kampuni inayoitwa Silent Ocean pale china wateja wote wa kariakoo wanaijua. Yaani ni wahujumu uchumi namba moja na kama wewe unafanya biashara na kulipa kodi basi ujue huwezi kushindana na hawa jamaa na utafilisika maana mzigo wako umelipia ushuru full wao hawajalipia hata robo utashindanaje nao kwa bei.

Kwa lugha ya kuwaonea huruma tuwaite majambazi tusiwaite mafisadi maana wanaiba kodi za serekali na kodi za wafanyabiashara wenzao.

Kiukweli inatia uchungu sana
 
Naikumbuka sasa ile thread kwamba Raisi kikwete ahongwa mke wa kiarabu na Asas ililetwaga humu jamvini
 
Watanzania wengi ni mbumbumbu yaani kufanya biashara kwa partner ship ni kashfaa?

Ebwana familia yachafuliwa sana. Siku moja kigari changu kilikuwa kibovu nikapanda mabasi mekundu kabla ya kituo cha mwisho likaamua kugeuka na tukaambiwa shuka ndio mwisho wa safari. Basi nikajifanya lawyer nikamuita afande nikamwambia wanakatisha safari afande akaniangalia akapiga kamkwara kakioga na kuondoka. Basi wakaja mateja ooh gari za prince hata afande wenu hawezi fanay kitu shukeni tuwatafutie Noah, nikajifanya mbogo ooh mnatunyanyasa nyie hamna ''ruti''nilikaa nusu saa nikashuka nikamkuta afande yupo mebele anawabana wenye vibajaj.
 
Hata reli wameiua ili malori yao yapate shehena za kupeleka mikoani na nchi jirani
 
Hata reli wameiua ili malori yao yapate shehena za kupeleka mikoani na nchi jirani

Mkuu hii ya reli kiukweli umenikumbusha mbali kidogo,n mwezi uliopita nilisafiri kwenda Kigoma na treni ,tulipofika tabora tukapumzka ilikuwa mida ya saa 2 usiku ,tulitangaziwa tupumzike hadi saa 6 usiku then tutaendelea na safari, baadhi ya mabehewa yariruhusiwa kuondoka e.g mpanda , tukawa tumebaki Kigoma na mwanza na vichwa vya train vilikuwa n 2 yaan vile vipya vilivyotengenezwa morogoro kwa hyo kimoja kikawa kimeenda mpanda ,sasa kikawa kimebaki 1 na hapo tupo wa mwanza na Kigoma ,
Aisee kile kichwa wakapewa mwanza sisi tuliokuwa tunaenda KIGOMA tukaambiwa tusubiri kingine kiko matengenezo yaani Kigoma niliona inadharaulika sana na nililia huwez amin yaan 80% ya watu wa KIGOMA wanategemea train but serikali haiwajali ,ndipo hapo kwenye maongez na dereva 1 wa train iendayo mwanza alisema yaan reli inahujumiwa na viongoz wachache walafi ili ife wao wapitishe mizigo kwa malori

Aisee kiukweli reli n mkomboz wa tabaka la raia wa kipato cha chini hasa kanda ya ziwa na magharibi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom