Familia ya Kikwete yachafuliwa: Yadaiwa kufanya biashara na waarabu

Habari chini ya capet zinasema Rizione ana shears Homeshoping center !! ... jamaa acha watambe!
 
mani CCM leo Nkapa eti rais wenu wa awamu ya tatu ameenda kutoa ushahidi kumtetea Mahalu, tutafika? mie ningekuwa DPP ningeacha kazi
 
kuna huyu mwarabu anaitwa Kamrani mnamjua vizuri?


Kama nakumbuka vizuri, huyu alikuwa mmoja wa directors wa mwanzo pale Kilimanjaro Kempinski. Alikuwa na kiburi huyu jamaa na alishiriki kwa karibu kutafuta eneo la Bilila Lodge. ndoile timu iliyonunua zile suti za mkuu wa kaya kupotia kwa Lisa ila boss wa ni Al bawady
 
au waziri aliowatema wameamua kumlipua kikwete kiana..takukuru nimesikia mmeanza kuwachunguza mawaziri chonde chonde msImwache kikwete kama mnataka kurudisha imani kwa watanzania.....
 
wajameni. Ivi Arsenal tutatoka kweli kwa West Bromwich? Yaan hadi kichwa kinauma! Ctak ata kuckia machelsea yanachukua champs league!
 
Kama nakumbuka vizuri, huyu alikuwa mmoja wa directors wa mwanzo pale Kilimanjaro Kempinski. Alikuwa na kiburi huyu jamaa na alishiriki kwa karibu kutafuta eneo la Bilila Lodge. ndoile timu iliyonunua zile suti za mkuu wa kaya kupotia kwa Lisa ila boss wa ni Al bawady

huyu jamaa inawezekana kuna mambo mengi yanayomhusu ambayo hatuyajui bado....
 
sasa wasipofanya biashara wale wapi??

Issue hapa sio kufanya biashara. Hawa jamaa wanapitisha makontena kwa Tsh 1,500,000 contena la nguo. Huko china wanakwambia ukileta mzigo wanakuchaji kwa cbm na hawakupi risiti ya aina yoyote ukikamatwa na huo mzigo ni shauri yako.
Kuna Maneja mmoja wa pale longroom anaitwa kahise aliondolewa kwasababu alikamata contena lao. Maofisa wote wa forodha wanamjua na anatumia kampuni inayoitwa Silent Ocean pale china wateja wote wa kariakoo wanaijua. Yaani ni wahujumu uchumi namba moja na kama wewe unafanya biashara na kulipa kodi basi ujue huwezi kushindana na hawa jamaa na utafilisika maana mzigo wako umelipia ushuru full wao hawajalipia hata robo utashindanaje nao kwa bei.

Kwa lugha ya kuwaonea huruma tuwaite majambazi tusiwaite mafisadi maana wanaiba kodi za serekali na kodi za wafanyabiashara wenzao.
 
Hata Wasira anafanya biashara na Waarabu wa Dubai,nilishwahi kumkuta Dubai zaidi ya mara mbili!nashanga akijiita msafi!
 
hii nch itabadilishwa na Vijana...


kwa sasa nch yetu imekuwa shamba la Ngedere.
 
Hii familia ya kikwete wala kikwete haiwezi kuchafuliwa bali ni ukweli kwani tushaizoea kwa ufisadi.
Joshua Nassary alisema kweli kwamba kikwete asikatishe Arusha kwani hafai, Nami natangaza kuwa kikwete asikatize Tabora kwani yy na chama chake hawajafanya chochote Tbr licha ya kupewa kuraz zaidi ya 70% kwenye uchanguzi 2010.

Shardcole@Tabora1

Watu wa Tabora mi siwaonei huruma kwani uchaguzi ukifika mnajisahau na mnajifanya nyie wakereketwa CCM damu, hamtaki mabadiliko. Msisikitike sana, uchaguzi unakuja mtaletewa fulana za kijani na Twanga Pepeta mcheze.
 
Hata Wasira anafanya biashara na Waarabu wa Dubai,nilishwahi kumkuta Dubai zaidi ya mara mbili!nashanga akijiita msafi!

Kwahiyo ukishafanya Biashara na Dubai tayari wewe ni mchafu???!!!, kwahiyo members wote was jf+mod+inv ni wachafu maana kuna adverts za waarab humu janvini!!"!"?????
 
Back
Top Bottom