Familia ya Kikwete 5 viongozi CCM kitaifa

Huu ni ushahidi wa uroho, upofu na kutoona mbali. Kama Nyerere angekuwa kipofu hivi leo tungekuwa tunaongelea chama cha Nyerere na siyo CCM. Hata hivyo, kama umma utatambua hatari ya hili, hakuna haja ya kujiumiza vichwa badala ya kuitimua CCM ili tuone huko kujirundikia madaraka kama kutawafaa hawa wanaoyatumia kifisadi na kifamilia.
Mkuu umenena yote niliyotaka kunena. Sijui unatumia soda gani?
 
To be expected, thinking capacity yao ipo very low, hawana zaidi ya kufikiria kujikita mizizi maana baba Mwanaisha akiondoka ikulu hawatakuwa na nguvu katika umma, nani atawafagilia hao zaidi ya wapambe wao tu.
 
DSC00657.JPG


Busara kwa familia moja yenye nafasi katika serikali kuchukua nafasi zote hizo? Yes ni halali yao na haki yao kikatiba, lakini je, kufanikiwa kwao kungewezekana wasingekuwa katika nafasi hiyo? Mambo mengine ni busara tu inahitajika kufikia uamuzi.


  • .......... hakuna ubaya wowote.. na wala sio dhambi.. bora hawa wamefanya kwa u - wazi, wala hawakuficha majina na kama wanaouwezo ... sioni tatizo lolote.
 
Kama sio uswahili basi lazima ni utekelezaji wa demokrasia kama wao wanavyoielewa.
 
Ningekuwa mwanafamilia hii, wallahi ningesikia aibu!...lkn wengine sura zetu ni za plastic.

Hivi hakuna ajira zingine?
Haya ni mapenzi n chama au kuna mkono wa chuma nyuma ya pazia?

PJ unaulizia makalio ya nyani wakati yako nje nje!:smash:
 
Siku zote usimpe "mswahili" madaraka, mbona utajuta...kila kitu kitapelekwa kiswahili swahili tu kutwa kujionyesha!
 
Ngoja nikumalizie kuna moja ya mwaka hiyo niliileta hapa
akitangaza matokeo ya ujumbe wa nec bagamoyo mwenyekiti wa ccm mh f.kikwete amesema \mh ridhiwani kikwete aepita bila kupingwa kama mgombea wa nec t-bagamoyo
nahisi huyu mwenyekiti nae umemruka kwenye familia akiona hii thread anaweza kukuchukulia hatua mwisho utafika lakini
 
DSC00657.JPG


Busara kwa familia moja yenye nafasi katika serikali kuchukua nafasi zote hizo? Yes ni halali yao na haki yao kikatiba, lakini je, kufanikiwa kwao kungewezekana wasingekuwa katika nafasi hiyo? Mambo mengine ni busara tu inahitajika kufikia uamuzi.
Hivi hilo li CCM mnaling'ang'ania la nini?si muondoke tu?
 
natamani nitukane lakini nakosa 2si! MWIGULU sijui hapo atasemaje? na kauli zakev za kipuuzi dhidi ya chadema! kwa halii atadharaulika na kuonekana na mambo ya kipuuzi!!! hapo ni familia moya bado nyingine na nyingine

Mwigulu na mwenzie Livingstone Lusinde a.k.a Kibajaj
 
NDUGU ZANGU. MSIIDHARAU HALI HII HATA KIDOGO, HUU NI UTAWALA WA KIIMLA NA UDIKTETA. HIZO NDIO DALILI ZA KIDEKTETA. GADAF, RAISI WA SYRIA, MAREHEMU HOSNI MUBARIK NAYE ALIJAZAGA WANAFAMILIA KWA MTINDO HUU.

Kwetu sisi tusiokuwa na hata balozi wa Nyumba Kumi ndio tumekwisha
 
This is ridiculous to say the least... haoni hata aibu?

Wakwere ni jamii ya waswahili wa pwani; hawaoni aibu aslani na ndio maana hata baada ya vilio chungu nzima toka kwa wananchi wa aina zote juu ya kuzidi kwa safari za nje zisizokuwa na tija, mkweree katia pamba masikioni na hivi sasa anabembea Canada!!
 
Mwacheni ale angani kama nchi kavu. Miaka miwili ijayo hataamini ni Tanzania ile aliyokuwa anachezea kama mpira wa malboro. Kweli ni DHIFU. Asante Mnyika kwa kutujuza!
 
Siku zote usimpe "mswahili" madaraka, mbona utajuta...kila kitu kitapelekwa kiswahili swahili tu kutwa kujionyesha!

Ukweli haukwepeki maana hayawi hayawi yamekuwa, sasa mwanae mkubwa ameshajaa tele kama mbunge kwa kuridhi jimbo la uchaguzi la babake, mama salma naye anasubiri aubunge huko Lindi.
 
Back
Top Bottom