Familia ya JF Chit-Chat pongezi kwa kupendana

Copy kwa my wife FP
Copy kwa Pacha wangu wa Ukwee sweetlady
Copy kwa Mamndenyi
Copy kwa former kiburudisho Preta
Copy kwa Chalii'angu ErickB52
Copy kwa King'asti.lovemsuba.tz
Copy kwa Bis hang a a.k.a Fukara la Kihaya
Copy kwa Chalii'angu Arushaone
Copy kwa chalii 'angu mtu chake
Copy kwa Kakakiiza





Copy to my one and only.................... Ritz karibu sana huku yaani full of tabasamu, keyboard unaigonga tu bila kuumiza kichwa uandike nini. na wananchi tunapendana sana
 
Last edited by a moderator:
Hivi wifey.... ushamtabulisha mgeni Ritz familia yetu?

Ushamkaribisha chai na kiporo cha ubwabwa na maharage?

Kama bado hebu fanya hima kwa niaba ya familia.
nimemuandalia maji tummassage miguu kwanza ndio aingie ndani! lol! hubby nimekumiss sana!
 
Kabla sijatoa kauli kwanza niambie yaliyojiri kwenye makutano yako na @C6. Huyu kijana sina imani nae kiviiiiiile.

Muda wa jukwaa hili ni saa ngapi kwani......sidhani kama kukesha inaondoa stress mkuu......
Na inakuaje hampigwi bani kwa kuingia humu muda usio muafaka......anyway, hii bluu mande imekuja miksa....naona hadi purple ndani.....wapi paya au ashua ya mbuzi?
 
Muda wa jukwaa hili ni saa ngapi kwani......sidhani kama kukesha inaondoa stress mkuu......
Na inakuaje hampigwi bani kwa kuingia humu muda usio muafaka......anyway, hii bluu mande imekuja miksa....naona hadi purple ndani.....wapi paya au ashua ya mbuzi?

Kama mchana kutwa nimeshinda nikilitumikia Taifa via Bia na kujikuta nimechoka na kulazimika kulala saa 12 jioni....unategemea mida hii natakiwa nifanye nini zaidi ya kutongoza huku?

Baby cacico, kam zis wei hun.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom