Familia ya baba mama na watoto

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Eti kwa kuwa wewe umekua na umeshajitambua, unadhani kuna faida muhimu ya kulelewa au kulea jamii katika familia ya kizamani baba mama watoto na jamaa?
nikimaanisha kuacha kulea wazee wetu
kuzaa na kulea watoto bila mke au mume?
hapa nazungumzia kufanya hivyo kwa maamuzi ya hiari, na sio kwa kulazimishwa na maisha kama kifo, umasikini nk
 
hiari hata familia bila watoto poa tu

but wazazi huwezi kusema 'watajiju'

hiari ipo kama wazazi wana uwezo
 
Kimsingi ni uamuzi wa mtu,ila saidia wanaostahili kusaidiwa na si kila mtu.wengine wafundishe nao wajitambue kama ambavyo wewe umejitambua.Kulea wazazi ni jukumu la kawaida.
 
Back
Top Bottom