Familia nzima ya Dr. Kigwangwala imeshindwa uchaguzi Nzega leo

Mkuu Bigirita, kwa mfumo uliopo ili ugombee uongozi ni lazima udhaminiwe na chama, ila wanaokuchagua sio chama ni watu, ukishachaguliwa unageuka mtumishi wa watu na sio chama, hivyo Dr. Kigwa ana watu, CCM inachama, 2015 utashuhudia ni nani zaidi kati ya watu na chama.

Ndani ya katiba mpya hatuhitaji chama ili kugombea na huku mtatushuhudia watu kama sisi tikiingia ngomani kucheza hili game la politics.

Pasco,
Shairi zuri ila umesahau ubeti mmoja Kigwa watu hana CCM ndiyo iliyomuweka hapo alipo; 2015 huyu hata akigombea na mwehu aliyetoka Mirambo hapiti; katiba umeshaipitisha? Namshauri tu asitekeleze fani yake siku mojamoja na apite hospitali ya wilaya kutibu watu; yeye anajifanya ni mwanasiasa mkweli amesahau siasa za siku hizi ni mix tu 25% ukweli 75% porojo inabidi ajirudi sana vinginevyo ndio kwisha. Kwa ufupi safari ndio imeanza si umesikia hadithi ya vitumbua? Nyimbo ya kutunga mahsusi kwa ajili yake
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Huyu jamaa hachoki kugombea? Si juzi tu aligombea nafasi Afrika mashariki akashindwa? Kwani ni lazima kila nafasi awe yeye tu? Hizi tamaa nyingine ni za ajabu sana hebu tufanye ameshinda nafasi alizogombea Mbunge, nafasi E. Africa, mjumbe NEC angejigawa vipi kuwatumikia wananchi?
Chama
Gongo la mboto DSM

Hii ni tamaa iliyomponza fisi.Hawa jamaa wenye uraia tata na mwenzie Rage huwa hawachoki kugombea, mara huku mara huko.
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema

Wakimbilie CHADEMA kufanya nini wakati umeishazema wamedondoka kwa bahati mbaya?
 
Pasco,
Shairi zuri ila umesahau ubeti mmoja Kigwa watu hana CCM ndiyo iliyomuweka hapo alipo; 2015 huyu hata akigombea na mwehu aliyetoka Mirambo hapiti; katiba umeshaipitisha? Namshauri tu asitekeleze fani yake siku mojamoja na apite hospitali ya wilaya kutibu watu; yeye anajifanya ni mwanasiasa mkweli amesahau siasa za siku hizi ni mix tu 25% ukweli 75% porojo inabidi ajirudi sana vinginevyo ndio kwisha.
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Chama, kitendo cha M/K wa CCM, kumchagua kada wa CCM Jaji Warioba kuwa M/K wa Tume ya Kukusanya maoni, Kwa imani kuwa atatengeneza katiba ya fadhila kwa CCM!, you are very wrong!, Baada ya Jaji Warioba kufanywa dekio na Mkapa katika ile tume ya rushwa, this time Jaji Warioba atafanya kweli, kwa kuwapatia Watanzania, katiba wanayoitaka!, suala la mgombea binafsi kwenye ubunge, udiwani na serikali za mtaa, halina mjadala!. Najua CCM Nzega imenunuliwa na Bashe ila watu wa Nzega, hawajanunuliwa!, kama Dr. Kigwa ataendelea kuwekeza kwenye watu, 2015 mbunge wa Nzega ni Dr. Kigwa, Bashe na CCM yake chali!.

Katiba mpya, itarudisha "people supremacy", ambayo ilihodhiwa na CCM kwa kuleta "party supremacy"!.
Wale wote waliodhani CCM matters much, watapigwa na butwaa!. 2014, naanzisha series za programs za kuwandaa watu kukubali matokeo halili ya uchaguzi na haswa watumishi wa umma!.
 
Mkuu Pasco;
Kazi ya tume ni kukusanya maoni maamuzi yatatolewa na wengine; kwa maana hiyo suala la mgombea binafsi halina nafasi kubwa; Pasco umeshatembea sana mabadiliko ya katiba yanafanyiwa referendum watu wanapiga kura maamuzi yanawekwa hadharani; sio kwa kikundi cha watu kukusanya maoni; Kigwa ataekeza kwenye watu gani wakati hata kura za maoni hatapita? NEC si ndio waliompitisha wakamuacha Bashe na Salelii basi NEC hiyohiyo ndiyo itayomuengua na kumuweka kichaa wa Mirembe; hiyo series mbona imechelewa? Mimi nategemea uianze wiki ijayo 2014 mbali sana hasa ukizingatia wanazi wa chama fulani wenye ndoto za uraisi itakuwa ngumu sana kukubali matokeo.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema

Kwenye maelezo haya hebu futa neno BAHATI MBAYA, ilitakiwa kutoshinda na ndio maana he thought Tanzanian ar so ignorant kwa vitumbua na chai.....
 
Mkuu Pasco;
Kazi ya tume ni kukusanya maoni maamuzi yatatolewa na wengine; kwa maana hiyo suala la mgombea binafsi halina nafasi kubwa; Pasco umeshatembea sana mabadiliko ya katiba yanafanyiwa referendum watu wanapiga kura maamuzi yanawekwa hadharani; sio kwa kikundi cha watu kukusanya maoni; Kigwa ataekeza kwenye watu gani wakati hata kura za maoni hatapita? NEC si ndio waliompitisha wakamuacha Bashe na Salelii basi NEC hiyohiyo ndiyo itayomuengua na kumuweka kichaa wa Mirembe; hiyo series mbona imechelewa? Mimi nategemea uianze wiki ijayo 2014 mbali sana hasa ukizingatia wanazi wa chama fulani wenye ndoto za uraisi itakuwa ngumu sana kukubali matokeo.
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Chama, japo ni kweli, CCM imeshika mpini baadhi ya maeneo, kisu cha CCM ni butu kabisa na tena kina mapengo, hivyo kwa 2015, hakiwezi kukata tena!. Nakuhakikishia 100% sure, 2015, mgombea binafsi ruksa na CCM doesen't mater anymore!. 2015, tutashuhudia kisu kikikatika na washika mpini wakizama na mpini wao!.

Dr. Kigwa, najua utapita hapa, shikilia msimamo huo huo, invest in people, not in CCM anymore, salama yako kurudi bungeni 2015, lies with the people and not with CCM!.

Kanda ya Kaskazini CCM imechokwa mpaka basi, kiasi kwamba kuna majimbo hata ukisimamisha jiwe na CCM, jiwe litapita!, the with of change is sweeping accross Tanzania very fast!, kanda ya Ziwa, inakijua kitakachoikuta CCM, 2015!, Wanyamwezi kwa muda mrefu wamekuwa mazuzu kama misukule fulani vile, hii ni opportunity ya Dr. Kigwa, kuwaamsha kuwa CCM haina hati miliki ya utawala wa nchi hii na ni kwa kupitia watu, Dr. Kigwa atasimama na watu wako watasimama na wewe!.

Pasco.
 
Sitta gani alikuwa anajali maslahi kitaifa? Sitta alikuwa mnafiki alijidai kujali maslahi pale alipoona kuwa atafaidika kwenye harakati zake za kutaka uraisi, mwisho wa siku alifisadi tu kama wengine, kumbuka hitimisho la Richmondi walifanya nini yeye Mwakyembe na wenzao wote akina Kilango, usidanganyike kirahisi ndugu yangu.

Hata kama ni chuki binafsi, angalau wameonyesha kwenda against na uozo wa chama na serikali mara kwa mara kuliko wale wengine ndani ya CCM walioamua kufumbia macho yote na kukaa kimya tu...Ndani ya CCM hawa ni viongozi wazuri wana msimamo ambao sisi wananchi tunataka kuusikia hata kama wanahatarisha maisha, uanachama na kazi zao nyingine.
 
wadau wanasema vitumbua vilikua na mafuta sna....... walihara mby..

so wakaamua kutoa shukrani zao kwa kuto wachagua.........

Poleni sna..... nxt tym opt 4 mandazi makav
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema
angeshindaje hana hela chafu? kumbe mnajua uchaguzi huru uko chadema
 
Kitu kinacho nishangaza mimi kuhusu hawa jamaa wa Magamba ni UROHO WA MADARAKA!

Wewe ni Mbunge wa jimbo kwa kuchaguliwa au kwa kuteuliwa bado unaenda kugombea Ujumbe wa Mkutano wa Taifa ili iweje???Kwanini watu wanakuwa na tamaa mbaya ya madaraka kwa kujirundikia vyeo au madaraka mbalimbali ilhali kuna watu hawana hata cheo kimoja???Unakuta Mbunge huyo huyo ni Waziri,huyohuyo ni Mjumbe wa CC,huyohuyo ni mjumbe wa NEC, huyohuyo ni mjumbe wa Board,huyohuyo ni mlezi wa UVCCM,huyohuyo ni Mwenyekiti ya Club fulani n.k.,n.k.

CCM badilikeni muwaachie na wengine madaraka. Msifikiri nyie kuwa mna akili sana kuliko watu wote,after all hatuoni huo uwezo wenu katika kuongoza zaidi ya kuendekeza ufisadi na umalaya! Badilikeni!
 
Walimpa nini Mungu mpaka wawe na hicho kipaji na watu wawakatae? Pia sitakosea nikisema wana kipaji cha kukataliwa tena na wachafu magamba maana magamba wakikutaa ujue basi tena wewe ni sawa na mfu

Kweli aisee kumbe wana kipaji cha kukataliwa (hawa wapo wengi unakuta anataka uongozi kila aki-attempt anatoswa, wengine hapo mdogo wake na mkewe walitaka kutumia jina la Dr kigwangala baada ya kuangalia record ya uongozi wa nyuma ya ukitumia sir name tu ya kiongozi flani unapita ila kwao imekuwa vice versa). Siku hizi kila kitu tunaambiwa ni kipaji, mwingine anakuambia nina kipaji cha utangazaji hata kama hajaenda course
 
....Mkuu Kilavo11, naungana na wewe, ushauri wangu kwa Dr. Kigwa, please, usikatishwe tamaa na matokeo haya, mimi mbona nilikwisha yaona kitambo tangu siku ile wannyazuia maanda mano yako kule Nzega!.....

Mkuu Pasco vipi swahiba wako Lowassa nae hajaanguka? Na vipi haliyake inaendeleaje?
 
mod kwenye topic ya chadema na kanisa katoliki nimetafuta mahali pa ku comment sikuona hivi hivi kuna wakati vile vitufe huwa mnavitoa?
 
huyu Kigwangala inaoneka anapenda siasa ila siasa haimpendi.ushauri bora arudi kutumikia fani yake ya heshima.!
 
Mkuu Chama, japo ni kweli, CCM imeshika mpini baadhi ya maeneo, kisu cha CCM ni butu kabisa na tena kina mapengo, hivyo kwa 2015, hakiwezi kukata tena!. Nakuhakikishia 100% sure, 2015, mgombea binafsi ruksa na CCM doesen't mater anymore!. 2015, tutashuhudia kisu kikikatika na washika mpini wakizama na mpini wao!.

Dr. Kigwa, najua utapita hapa, shikilia msimamo huo huo, invest in people, not in CCM anymore, salama yako kurudi bungeni 2015, lies with the people and not with CCM!.

Kanda ya Kaskazini CCM imechokwa mpaka basi, kiasi kwamba kuna majimbo hata ukisimamisha jiwe na CCM, jiwe litapita!, the with of change is sweeping accross Tanzania very fast!, kanda ya Ziwa, inakijua kitakachoikuta CCM, 2015!, Wanyamwezi kwa muda mrefu wamekuwa mazuzu kama misukule fulani vile, hii ni opportunity ya Dr. Kigwa, kuwaamsha kuwa CCM haina hati miliki ya utawala wa nchi hii na ni kwa kupitia watu, Dr. Kigwa atasimama na watu wako watasimama na wewe!.

Pasco.

Pasco naona Bahasha za kaki huzitaki tena, utasemaje hivyo wakati ushasema Lowassa ndio rais 2015. Usiwe kigeugeu mkuu. Jiangalie unachokizungumza mkuu lasivyo vibahasha vya Lowassa vitakutokea puani.

Hapo kwenye Red unamruka Swahiba wako Lowassa sasa. Mpaka 2015
Pasco tutakushuhudia mengi ya kuyatamka
 
Back
Top Bottom