FAMILIA: Je, Unahitaji kuwa na Ndoa Imara, yenye Furaha na Amani? Soma hapa...

Wanaume pia mnapaswa kubadilika... mnaoa... mnaweka ndani, hutaki afanye kazi then kesho unamuona goàl keeper, mnamchoka na kufanya maamuz ambayo sometimes yanamuumiza mke ila hamjali mkijua hana pa kwenda... sie tunayoona hayo, ninaweza kurudia kosa alilofanya mwanamke mwenzangu!!! si bora nitafute pesa yangu niweze kusimama kwa miguu yangu?
Tukiendelea ivi, wanaume watabaki na kilio cha "hakuna wa kuoa" na mwanamke akiona "hakuna wa kuolewa nae"...
Mawazo yangu...
 
wanawake!!!.. nyie wanawake nyie!!

mmhh... mwanamke akipendwa saaana analeta nyodo na kiburi!

mwanamke huyo huyo akipelekwa harsh, analalamika sana kwamba hapendwi!!

sasa ninyi viumbe tuwabebeje?
 
Respect her...
 
Nikisema mnafikiri vibaya mnasema mimi mbaya
Nikisema uwezo wenu wa kusoma mkaelewa mnasema mimi mbaya
Nikisema hamko makini kwenye mijadala mnasema mimi mbaya

Sasa wewe hapa unadai mimi nimesema husband material ni bahili wakati ni uongo
Au kwako mtu akisema bahili kiasi anakuwa amesema bahili?

Hebu kuwa makini!

hebu tupia hapa definition ya bahili kiasi. hiyo kiasi ni kipimo chako tu lakini bado tunamuongelea mtu bahili yule yule. ukila chakula kiasi hujashiba huwezi kuulizwa kama umekula ukajibu hujala kisa tu umekula kiasi. chakula umekula, hiyo portion ya kiasi zinakuwa mbwembwe tu.
 
Nilikuambia kuwa bahili ni mtu ambae ni mgumu kufanya matumizi ya fedha hata kwenye mambo ya msingi

Unapokuwa bahili kiasi maana yake wewe unatumia kwenye mambo ya msingi na kwenye mambo yasiyokuwa na msingi hutoi hela!
 
hii tafsiri ya bahili kiasi umeitoa wapi?
 
Back
Top Bottom