Familia -ikulu nyumbani kwao

Huku wameshakusahau


KIKWETE-CHALINZE-2005.30120736_std.jpg

Aysee huyu mpiga kasia mbele kabisa sio michuzi huyu? dah alikuwa amechoka? alhamdulillah muungwana aliingia ikulu na hakumtupa mziwanda wake...walau siku hizi mambo kwa kaka mithupu mashalllah!
 
nimeipenda picha ya kwanza hope ni katoto ka Riz 1 hongera zake sana., hv kuna tatizo lolote wakiishi ikulu ? naomba kuelimishwa
 
Back
Top Bottom