Falsafa iliyopitwa na wakati. 5% ya waMarekani ni wakulima na wanalisha nchi zima na kuuza nje. 95% ya watanzania ni wakulima na bado wanatembeza mabakuli.
Topical,'@ Jasusi
Tatizo ni ardhi kutopewa wazalendo wakulima badala yake wakachukua serikali (wakati wa nyerere)..kosa kwanza
Serikali ya sasa (baada ya nyerere) walitakiwa wawape wakulima wazalendo badala yake wanawapa wawekezaji wahuni ..(kosa la pili)..
Bado tunaendelea kufanya makosa sijui hadi lini?
Topical,'
Ukisoma hiyo article ya Mbarali inapingana na kauli zako. Ardhi amepewa "mwekezaji" ambaye si raia na raia waliokuwa wanalima wamezidi kusota kwenye ufukara. That is what we are talking about kuhusu hizi sera mufilisi za CCM-Kikwete.
Una hakika na hilo? Siyo madiwani ambao wamepewa elimu ya madrassa? Lakini point muhimu ni kwamba enzi za Julius kama Mtanzania ukitaka ardhi ya kilimo ulipewa bure. Sasa hivi nahitaji eka 20 za kulima mahindi nimepewa bei imebidi nirudi kujipanga upya.Hao wanaoitwa wawekezaji watakuwa wametoa mlungula kwa watendaji (ambao bahati mbaya sana mkuu ni kaka/dada zako wanaotoka st. maria)...
Una hakika na hilo? Siyo madiwani ambao wamepewa elimu ya madrassa? Lakini point muhimu ni kwamba enzi za Julius kama Mtanzania ukitaka ardhi ya kilimo ulipewa bure. Sasa hivi nahitaji eka 20 za kulima mahindi nimepewa bei imebidi nirudi kujipanga upya.
Topical,100% nina uhakika 87 vs 13 ya wataalam wetu wametoka st. maria, kama wakiamua kuacha ufisadi wakaamua kusimamia haki nchi itapata neema lakini wamekalia kula mlungula tu na "proposals" za kunyonya pesa za umma..madiwani si wataalamu halafu wengi wao pia st. maria..nafikiri turudi kwenye basics tuwafundishe watu uzalendo na mapenzi kwa watu na si fedha..wanaweza wakaanza huko kwa st. maria ambao ndio wanaotoa human resources wengi serikali (unfortunelty without positive impact)..
Nyerere alinyang'anya wazalendo wakulima mashamba yao akawapa viongozi wa chama na serikali..mwishowe njaa tupu..
Uchumi na siasa vitu viwili tofauti mkuu
Topical,
Hii ya Nyerere kuwanyang'anya wazalendo wakulima mashamba na kuwapa viongozi wa chama si kweli. Nenda kule Moshi Nyerere aliwanyang'anya wazungu walowezi mashamba na kuwapa raia wa kawaida na mpaka leo wanamkumbuka. Hii ya kuwapa viongozi wa chama imetokea Zimbabwe na si Tanzania. Prove me wrong.
Nani alitegemea kama Mkapa na CCM siku moja wangemrudi Mwalimu Nyerere baada ya 40 ya utumishi uliotukuka kwa masikini wa Tanzania alivyotufanya muda wote tujihisi wafalme hata kama hauna kitu mfukoni???
Mkuu naona unaota wewe, unaufahamu umuhimu wa ardhi wewe? Tuchukulie mfano mdogo wa ardhi yenye madini iliyomilikishwa kwa wageni katika jina la uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja, Tanzania imepata nini zaidi ya kuitwa nchi ya tatu barani Afrika kwa uzalishaji wa madini wakati pesa ikiishia mifukoni mwa wawekezaji na wenyeji wakifukiwa mgodini wakiwa hai huku wengine wakifukuzwa kama wakimbizi kupisha ''uwekezaji''?
Topical,
Hii ya Nyerere kuwanyang'anya wazalendo wakulima mashamba na kuwapa viongozi wa chama si kweli. Nenda kule Moshi Nyerere aliwanyang'anya wazungu walowezi mashamba na kuwapa raia wa kawaida na mpaka leo wanamkumbuka. Hii ya kuwapa viongozi wa chama imetokea Zimbabwe na si Tanzania. Prove me wrong.
Jasusi,
Nyerere alikuwa na sera mbovu za ardhi. Kwakwe ardhi ilikuwa mali ya umma na watanzania hawakuwa na haki ya kumiliko ardhi mali zao.
Kuhusiana na mashamba ya Moshi, mpaka ulete ushahidi wa maandishi. Wakati tunapata uhuru mikoa ya Kilimanjaro na Kagera tayari ilikuwa imeendelea kwa watu kumiliki ardhi.
Na mashamba aliyotaifisha yalikwenda kwenye mamlaka za mazao ambayo yote ni hasara tupu.
Zakumi,
Kuhusu sera mbovu za ardhi you may have a point. Lakini enzi za Nyerere ukitaka ardhi ya kilimo ulikuwa unapewa bure.
Sasa hivi kama ilivyotokea Mbarali hata mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na serikali badala ya kuwagawia wananchi ambao walikuwa wanayatumia amegawiwa "mwekezaji" tena kutoka nje ya nchi.
Na tukizungumzia mashamba yaliyotaifishwa kwenda kwenye mamlaka ya mazao the solution was not to give them to a so called investor but the people should have been the first option. In other word, kama sera za Nyerere zilikuwa mbaya hizi za akina Kikwete ndizo worst. Narudia tena, hakuna nchi iliyoendelea kwenye kilimo kwa kutegemea wawekezaji kutoka nje.
That is a fact. Kuhusu mashamba makubwa najua kuna mashamba yalikuwa yanamilikiwa na wazungu Moshi. Nyerere aliyachukua na kuwagawia wananchi. Sina ushahidi hapa ambao naweza kutundika hapa kukuhakikishia lakini niliambiwa nilipokuwa Moshi
Hivi tunatakiwa tuwe maskini wote ndio usawa?
Hivi kuwa na shamba lako ambalo unaweza kung'oa magogo na kulima mazao ya chakula na biashara ..kuna ubaya gani?
Nyerere alitaifisha mashamba ya wazalendo wakaweka vijiji vya ujamaa juu ya mashamba ya watu kilichofuata njaa, na umaskini..
watu wengine lazima watakuwa wakulima wengine wafanyakazi..
Mimi sioni tatizo kwa ardhi kumilikiwa na umma endapo wananchi wataruhusiwa kuitumia. Sasa wewe ulitaka wenye nguvu na wageni wagawane kama walivyofanya wakikuyu? Wewe huko ulipo ulishasikia wakenya wakijidai wamenunua mashamba na wanarudi kwao kujenga? Makampuni yalipouzwa kiholela unafikiri Tanzania kama nchi ilifaidika? kumbuka kipindi cha mwalimu wengi walikuwa hawana upeo kwahiyo tungerubumiwa na wageni pamoja na wajanja wachache.Jasusi,
Nyerere alikuwa na sera mbovu za ardhi. Kwakwe ardhi ilikuwa mali ya umma na watanzania hawakuwa na haki ya kumiliko ardhi mali zao.
Hapa lilikuwa ni tatizo la utekelezaji tuu lakini siyo sera mbovuNa mashamba aliyotaifisha yalikwenda kwenye mamlaka za mazao ambayo yote ni hasara tupu.
Mimi sioni tatizo kwa ardhi kumilikiwa na umma endapo wananchi wataruhusiwa kuitumia. Sasa wewe ulitaka wenye nguvu na wageni wagawane kama walivyofanya wakikuyu? Wewe huko ulipo ulishasikia wakenya wakijidai wamenunua mashamba na wanarudi kwao kujenga? Makampuni yalipouzwa kiholela unafikiri Tanzania kama nchi ilifaidika? kumbuka kipindi cha mwalimu wengi walikuwa hawana upeo kwahiyo tungerubumiwa na wageni pamoja na wajanja wachache.
Nyerere kama mwasisi wa Taifa changa ilibidi awape elimu wananchi wake kwanza ili watakapo jitambua waweze kuweka sheria ambazo zitawasaidia hapo baadae ndiyo maana aliwekeza kwenye elimu na kuzuia mambo ya uchimbaji madini na kuhakikiasha ardhi inamilikiwa na umma. Hii yote ilikuwa ni mikakati ya kulinda mali asili wakati taifa linakua
Hapa lilikuwa ni tatizo la utekelezaji tuu lakini siyo sera mbovu
Siyo kuwa gate keeper lakini kingozi wa nchi anatakiwa kulinda maslahi ya nchi ikiwemo raia sio tu mtu anatoka Iowa anakuja kujichukulia ardhi.Chamoto,
Kwa hiyo Nyerere na serikali walikuwa gate-keepers wa watanzania wenye upeo mdogo wasirubuniwe?