Falsafa ya Mwanamke

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Hii nimeitoa kwa vijana kule Facebook nanukuu

FALSAFA YA MWANAMKE

- Mwanaume mkamilifu zaidi duniani ni BABA YAKE
- Mwanaume anayeonewa na kunyanyasika zaidi duniani ni KAKA YAKE
- Mwanaume mzuri na mtanashati zaidi duniani ni MTOTO WAKE
- Mwanaume mwenye bahati na mwenye furaha zaidI duniani ni MUME WA DADA YAKE
- Mwanaume mwenye shukrani zaidi duniani ni MKWE WAKE
- Na mwanaume mkorofi, mbishi, mbinafsi, mwenye roho mbaya, asiyejali na mwenye tabia chafu kuliko wote duniani ni MUME WAKE.

Kuna ukweli hapa? Ngoja nijizuie kwanza kutoa maoni yangu
 
Hiyo namba mbili nimei-Like
Kuna jamaa yangu alioa alafu ikatokea ishu fulani wakakwaruzana na kaka mtu (shemeji). Ooohoooooo mwanamke kamzira na wameachana sharti la kurudiana mume wake akamwombe msamaha kaka yake, na kaka kazira. Dunia ina mambo
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Kila mtu anatoa falsafa kulingana na urefu wake wa kufikiri.
 
sikubaliani na falsafa nzima.
Imekaa kushoto kabisa na uzoefu wangu.
 
Hiyo ya MKWE not reachable!!!!! Hata wakwe zangu hawa wa short time huwa hatuiviiii kabisaaaaa ISIPOKUWA KWENYE USHABIKI WA premier league, la liga, seria A, bundensliga, league 1, EUFA. Hapo poamoja sanaaaaa! Kama jmosi MAN alivochapwa, nikasahau kama faza inlaw ni MAN U, Bwana weeeee kidogo ukoo uvunjike! LOL!
 
Hahahahaha

hiki kichwa hiki...... Loh
 
hivi ww ni mdada au mama mtu mzima?
nataman nikuone unavyoonekana, manake ...........sijui
 
LARA1 I always like the way you turn the story
Huyu ni mdada bana
E13D.png
E21E.png

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hii nimeitoa kwa vijana kule Facebook nanukuu

FALSAFA YA MWANAMKE

- Mwanaume mkamilifu zaidi duniani ni BABA YAKE
- Mwanaume anayeonewa na kunyanyasika zaidi duniani ni KAKA YAKE
- Mwanaume mzuri na mtanashati zaidi duniani ni MTOTO WAKE
- Mwanaume mwenye bahati na mwenye furaha zaidI duniani ni MUME WA DADA YAKE
- Mwanaume mwenye shukrani zaidi duniani ni MKWE WAKE
- Na mwanaume mkorofi, mbishi, mbinafsi, mwenye roho mbaya, asiyejali na mwenye tabia chafu kuliko wote duniani ni MUME WAKE.

Kuna ukweli hapa? Ngoja nijizuie kwanza kutoa maoni yangu

Nakubaliana nawe 80%!!
 
Ingekuwa falsafa ya mwanaume ningekubaliana na
Mwanamke mkamilifu ni MAMA yake at least kwa wale ambao hawakutelekezwa na mama zao, na waliolelewa na single mothers.

Mwanamke mzuri zaidi ni Mke wa MWENZAKE

Na MKEWE ni mwanamke asiye na shukrani, msumbufu, mtovu wa nidhamu, hajipendi (mchafu); n.k.
 
hivi alieitoa hii falsafa atakuwa kafanya utafiti kwanza?au kakurupuka tu!hii totauti kwelikweli
 
Back
Top Bottom