Fallopian Tubes zimeziba nifanyeje

Ansah Miles

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
392
175
Rafiki yangu kapata problem ya kuziba kwa mirija ya uzazi yaani Fallopia Tubes, ni kwamba kajifungua mara mbili na uzazi wa pili mtoto alifariki akiwa na wiki moja, tatizo lililopo ni kuwa huu ni mwaka wa nne akijitahidi kupata mimba lakini bila ya mafanikio, alikwenda kwa Dr Mugaya pale Maria Clinic Namamga kwa ajili ya Medical Check up kuangalia tatizo ni nini ,Dr akamshauri akapige picha TMJ kuangalia hizo Fallopian tubes na majibu yakatoka ni kweli kuwa hiyo mirija ya uzazi imeziba, Please the great thinkers naombeni msaada wenu,
Natanguliza shukrani
 
Na huyo Dr Mugaya alimwambia nini baada ya kurudisha majibu?

Dr Mugaya alitoa ushauri kuwa njia pekee ni kufanya operation lakini aka -caution kuwa 60% huwa hazifanikiwi na si vizuri kufanya operation hiyo kwani mafanikio ni kidogo sana
 
Dr Mugaya alitoa ushauri kuwa njia pekee ni kufanya operation lakini aka -caution kuwa 60% huwa hazifanikiwi na si vizuri kufanya operation hiyo kwani mafanikio ni kidogo sana
Ni kweli kabisa, matibabu yake hutegemea na tatizo na sababu ya kuziba ni nini? Mara nyingi tubo-surgery hutanyika (upasuaji) na wakati mwingine mama hupewa dawa za kumeza. Lakini kama tube moja iko patent (haijaziba) uwezekano wa kushika mimba bado ni mkubwa. Na hii inategemea majibu ya HSG kama umefanya.
 
Dr Mugaya alitoa ushauri kuwa njia pekee ni kufanya operation lakini aka -caution kuwa 60% huwa hazifanikiwi na si vizuri kufanya operation hiyo kwani mafanikio ni kidogo sana
Si vizuri kufanya operation kwa sababu mafanikio ni kidogo? Kwani what do you have to lose? Kuna 40% chance ya kufanikiwa, tatizo la kujaribu ni nini? Kwa hiyo daktari kashauri ubaki tu hivyo hivyo, wakati kuna chance ya kupona kwa surgery? Sidhani kama unam quote daktari kwa usahihi. Wabongo tuna matatizo ya kujieleza.
 
Back
Top Bottom