siansakala
Member
- Aug 12, 2012
- 75
- 10
Naskia hizi selection za UDSM ni feki........wabongo wamechakachua
Naskia hizi selection za UDSM ni feki........wabongo wamechakachua
pale mwisho wa matokeo ya o level zile herufi zinamaanisha nini
Naskia hizi selection za UDSM ni feki........wabongo wamechakachua
HAHAHhahahhaahha kumbe ni junior member karibu jf!! inaonekana ulikua unapenda upangwe ud ila bahat haikua yako,,,usikonde ungana nami na wengine tungoje tcu watoe selection za vyuo vingine!!!! hahahahahhaNaskia hizi selection za UDSM ni feki........wabongo wamechakachua