Fake ORGASM

Mkuu hebu angalia hii hali....
Wewe ni mwanaume, na umetoka kwa Da Sophy....unafika nyumbani unadaiwa haki.......

Hahahaaaaa!!!! mkuu, unaanzaje ku-fake?
Watu wanakuwa wamekamuliwa kwa akina da sophy lakini wakurudi angalao povu tu linatoka bana!! tehe tehee!!
 
Basi mie mwenzenu nadanganywaga kila siku ikiwa ndo hivo!:yuck::yuck::yuck::yuck::frown::frown::frown::frown::angry::angry::angry::angry:
 
Hahahaaaaa!!!! mkuu, unaanzaje ku-fake?
Watu wanakuwa wamekamuliwa kwa akina da sophy lakini wakurudi angalao povu tu linatoka bana!! tehe tehee!!
Mkuu labda humfahamu 'Da Sophy'....habakizi kitu :peace:
 
teh teh ni suala la maridhiano tu....wawili waongee na wakubaliane wasipunjane.:smile-big:
 
ile kitu si huwa inakuja automaticallly :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
...Sidhani kama ni automatic, kuna mtu aliwahi kuniambia huwa mnaisikilizia tangu mbali ainaanzia, kibamba, mbezi, kimara, ubungooooo mara kitu mahali pake......
 
...Sidhani kama ni automatic, kuna mtu aliwahi kuniambia huwa mnaisikilizia tangu mbali ainaanzia, kibamba, mbezi, kimara, ubungooooo mara kitu mahali pake......

...........ehe? So ikianzia akiba then Posta unajua hii sio yenyewe maana amewahi kufika?
 
Hahahaaaaa!!!! mkuu, unaanzaje ku-fake?
Watu wanakuwa wamekamuliwa kwa akina da sophy lakini wakurudi angalao povu tu linatoka bana!! tehe tehee!!

duh JF kiboko! Da Sophy keshakuwa 'kielezi'? au SI Unit? balaaa
 
twaogopa kuachwa, pia uvivu ha ha ha ha ha:yuck:
Haahahha
Hebu pata picha mkaka kajipinda kwa nusu saa nzima akichimbua dhahabu ambayo bahati mbaya iko chini zaidi ambako inabidi aongeze bidii kuifikia. Nakutizama jasho hadi mgongoni, kisha nakwambia bado sijafika!!! how do you take it? Wengi wenu huwa mnakwazwa kwa kuona weki dani iz iko tu ziro then mnakosa raha na kuumia nafsi.

Moral of the story: Haya husemwa pale ambapo mshamaliza uchimbaji wa dhahabu na wewe mwanakaka unatoa ile after math treat- sio ukimaliza unageukia ukutani unakoroma sasa "honey mwenzio safari hii dhahabu hujazifikia" yangu utaisikia saa ngapi??

Ila seriously mtupe audience ya kuyatoa haya- couples should have time to discuss their sexual life not only mambo ya maendeleo ya familia.
 
duh JF kiboko! Da Sophy keshakuwa 'kielezi'? au SI Unit? balaaa

G huyu dada wewe unamuonaje?? balaa eti akaikumatia mtu wako hata povu usahau kabisa ndo utaishia ku-fake tu
 
Hahahaha sasa jamani kwani Da Sophy akikamua, shemeji naye anakuja kufake home? yeye si anaishia kustrike tu kwa madai ya kugoma? Maana anajua akitoa povu atashtukiwa ati!! au ndo bunduki haikokiki kabisa!!
 
au ndo bunduki haikokiki kabisa!!

MJ1 unaweza kuilazimisha bunduki kukoki na ikakoki....tatizo risasi hazitoki.....
Halafu unajua lazima muda wako wa kufika unajulikana, so ikifikia unatumia masaa ma3 lazima ushtukiwe......you better fake.:target:
 
Hahahaha sasa jamani kwani Da Sophy akikamua, shemeji naye anakuja kufake home? yeye si anaishia kustrike tu kwa madai ya kugoma? Maana anajua akitoa povu atashtukiwa ati!! au ndo bunduki haikokiki kabisa!!

da sophy akikukamatia wako hata ukidai ile kitu.....kazi bure. manake hapo mr lazima atafute ufundi wa ziada a fake yeye! manake kama haja fake lazima umkamate mashati....kulikoni?
 
wana JF mbona mwazunguka tuuuuuuuu! mada ya msingi iko mezani,kwa nini wanawake wanafake? tuwazaidieje?
 
Nimegundua wengi ni wabakaji hapa!!!! inakuwaje hujui kama mpenzio bado hajafika au keshamaliza????:angry:

Ha hahaha,umenimaliza kwa kicheko mkuu.

Sasa kwa mtindo huu kumbe ndoa zinavunjika kwa vitu vidogo ambavyo haviwekwi bayana.Kama mwenzako anafika halafu hujui,it hujui kumfurahisha kwa kuwa hauko attentive
 
Kwenye bold hapo..... what attention itakuwa genuine kwake maana naambiwa wote mnaweza kuwa fake!!:yuck:
 
Back
Top Bottom