Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,462
- 4,364
Hiyo website ingekuwa China nisingeingiza IMEI ya simu yangu. Inaonekana wako Sweden.
(I love Firefox browser)
ha ha ha, hiyo website nime-conform inatoa maelezo bomba hata kwa simu feki. Ila nikiri kwamba inapatia kwenye aina ya simu na mwaka iliyotengenezwa. Ila validity ya IMEI inachemsha na targeted market inasema UK hata simu feki za China.