Faiza Foxy bwana!

Status
Not open for further replies.

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
Ivi jana ulikuwa na matatizo gan au ulikuwa unafikiria ukaweka bonge la topic eti Jf siku izi ni ze utamu_kabla hata jogoo hajawika kufuli hilo_enhe waelezee wandugu kupitia forum ulitaka kuwaambia nin maana with the very zero comment kufuli hilo_haya tuambie sasa
 
Kuna link niliiweka palepale, na ukitaka maelezo zaidi waulize mods,
 
Huyu anatafuta life ban bila shaka
 
hapa jf tukiweza kukaa wiki nzima bila mtu kuanzisha thread ya kumzungumzia faizafoxy
itakuwa tumeweka rekodi,
 
Kuna link niliiweka palepale, na ukitaka maelezo zaidi waulize mods,
cdhan kama watatupatia hicho kiunganish hicho_kama hujal kimwage hapa tujisevie_mana jana ile nataka kufungua tu sired he kuful hilo_tujuze nduguzo
 
Huyu mwanamke naona hata mumewe ana shida sanaa! jamani mniambie ana mume kweli jinsi alivyo waluwalu! au jike dume hili? analazwa cha7öl huyu kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom