Faith Manyaki

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,196
113,480
Jamani namtafuta huyu mdada aitwaye Faith Manyaki kama bado hajavalishwa pete na mtu. Ni rafiki yangu tu huyu wa zamani sana na tumepoteana miaka mingi mno. Tulisoma wote.
 
Ni rafiki yako tu,sasa kuvalishwa pete kunahusika nini tena mkuu NN? au unataka uvute kama atakuwa available!
 
Ni rafiki yako tu,sasa kuvalishwa pete kunahusika nini tena mkuu NN? au unataka uvute kama atakuwa available!

Kuvalishwa pete kunahusika kwa sababu kama keshavalishwa sitahangaika tena kumtafuta na kumsabahi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom