Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
Mpaka muda fainali hazijaanza, Tbc wanachofanya tangu saa tatu Usiku ni kupitisha ujumbe kwenye luninga kuwa fainali zitaanza muda wowote
Ngoja tusubiri lakini inaelekea kuna shida mahali
 
Kwa wale tuliokuwa tukifatilia lile shindano kubwa Bongo la kuibua vipaji vya wasanii wa muziki, fainali zinarushwa soon kupitia TV ya Taifa TBC.

Tujimwage sasa.
 
Mpaka Muda huu Fainali Ya Epic Bongo Star Search TBC1 ni Kuchezewa tu Miziki Mchanganyiko na Kiukweli Wametuangusha Mno Kwani Wenyewe Tulikuwa Tumeipania Kuiangalia ili Nasi Kesho Tutambe Mjini Kwa Kuhadithia Uwongo na Kweli Sasa Leo TBC1 Wamemaliza Ubishi na Kesho Hakuna wa Kumdanganya Mwenzake Mjini Labda Kwa Wale Waliokwenda tu Leo Club Escape ila Najua Wengi Kudadadeki Tupo tu Glued ktk Tv Sets Zetu Tukikodoa Tu Mimacho huku Tukiwa Tumenuna. Hureeeeeeee Hatimaye Sasa TBC1 Wapo Hewani Ikienda Saa 5 Kasorobo. Sasa Tunangojea Akina Yahaya Kesho Mtaani Watudanganye!
 
sababu tano kwa nini siangalii BSS
1. Matokeo yanapangwa
2. Hakuna mshindi yeyote anayepewa hizo m50(nawaruhusu wapelelezi na wachunguzi mkajihakikishie)
3. superstar wa BSS wanaendaga wapi mbona hatuwaoni wakifanya vizuri? (BSS ni kitengo cha usanii cha kutengeneza mastar fake)
4. hata maelezo (maamuzi) ya salama, m jay na madam huwa ni script!!!!!!!!
5. wivu wangu maana na mimi nimekosa akili ya kutemgeneza kipindi cha kikanjanja ili niingize pesa ndo maana namuonea wivu kanjanja madamu rita. Taifa kanjanja, watoto wetu makanjanja, kizazi kizima manjanja! NA HIZI NDIZO ATHARI ZA CCM NA ZITO!
 
Back
Top Bottom