fainali uzeeni

nani anataka mwanamme shati?
Akafie mbele abinukie na kiuno.

Yaani wanamme, mwanamme gani anaikimbia afu leo anataka hifadhi?
Kanifanya mashauzi mwenyewe

Khaaaa skujua JF kuna wataalam wa tarabu pia. Hii sredi hata isha mashauz haoni ndani. Kudadadadeki
 
Kaazi Kweelii kweelii !!!!!!!!

Hakika weekend imewadia. Kisha mwisho wa mwezi.

Mnapata wapi pesa nyie? Sie hata mishahara bado. Tumbueni tu. Wakati ni wenu.
 
tunatumbua au mnatutumbua??

Kaazi Kweelii kweelii !!!!!!!!

Hakika weekend imewadia. Kisha mwisho wa mwezi.

Mnapata wapi pesa nyie? Sie hata mishahara bado. Tumbueni tu. Wakati ni wenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom