Failed Relationship Vs. Failed Marriage......

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Many people end up making a life time mistake just to please society. Some think they're in love, some are in it because the other spouse was recommended by God , parents, friends, relatives....Some are just there because they feel like they've been in the relationship too long to end up unmarried.

Isn't it better to stop the tragedy before it's too late? Please share your thoughts and experiences, if any

Tuchangie mjadala

****************
FL1
 
haha haaa!! one of my best quote is,

'love until it hurt, real luv is always painfull and hurt; then it is real and pure'

if you go with this kind of hopes, one day you will make it, usikate tamaa....!!
 
Mamito FL1 za masiku?
Some do believe that what they have at hand is the best ever, only because the other parts have let them see what they want them to see or believe. Wale wanaokuwa na watu walioficha makucha until marriage uncovers them!
 
Mambo ya ndoa na mahusiano ni magumu sana ..
Mie nadhani mahusiano yanapoonekana hayako sawa ni bora kujivua gamba kabla hujaingia ndani ya ndoa

ndio maana watu huwa wanalia na kusaga meno wakishafunga pingu za maisha ,,utakuta wanalalama laiti ningelijua

Ungejua nini wakati dalili ya mvua ni mawingu?
 
Nipo mamy anytime nitakuwa mitaa hiyo nitakucheki

MJ1 lakini unajua kuna watu wana usanii mwingi sana wa kupretend
Ila pale anapoingia ndani ya ndoa mnakuwa pamoja kwa muda mrefu makucha yale inakuwa ngumu kuyaficha
 
Mamito FL1 za masiku?
Some do believe that what they have at hand is the best ever, only because the other parts have let them see what they want them to see or believe. Wale wanaokuwa na watu walioficha makucha until marriage uncovers them!
or until death uncovers them!
mwali wewe, hizi ndoa mwenza akifa ndo presha inapanda, unaweza kupata surprise ya mwaka. Tafuta movie ya eddie murphy inaitwa 'death at a funeral' ujionee miujiza.
 
Mambo ya ndoa na mahusiano ni magumu sana ..
Mie nadhani mahusiano yanapoonekana hayako sawa ni bora kujivua gamba kabla hujaingia ndani ya ndoa

ndio maana watu huwa wanalia na kusaga meno wakishafunga pingu za maisha ,,utakuta wanalalama laiti ningelijua

Ungejua nini wakati dalili ya mvua ni mawingu?

watu huwa wanaona ni maamuzi magumu sana kusema let's quit haya mahusiano tunakoelekea siko

Sometimes kusoma dalili inakuwa ngumu mawingi yanaweza yakatanda ukadhani mvua itanyesha mwisho wa siku likawaka jua kali la kiangazi
 
ndoa !mahusiano!ndoa!mahusiano!
bado natafuta maneno kuntu ya kuweka hapa nashindwa kwakweli!:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
or until death uncovers them!
mwali wewe, hizi ndoa mwenza akifa ndo presha inapanda, unaweza kupata surprise ya mwaka. Tafuta movie ya eddie murphy inaitwa 'death at a funeral' ujionee miujiza.
Aksante shost, ngoja niisakanye maana haya mambo tunafunzwa sana kwa njia ya hizi movies but tunapuuzia. Nakumbuka uliporecommend ile ya Think like a Man, Act like a Lady oh my my my!
 
When it is God's recomendation the relationship is always great!

Labda hao wengine, God's will is always the best; shida watu wanashindwa kujua kama ni mpango wa Mungu au wa binadamu, coz we don't seek God's opinion about our situations.
 
labda binadamu tuli complicate haya kwa kutaka yawe yana last forever

ukikubali kuwa yakiisha yameisha
unaanza zako taratibu..bila presha
 
mi nahisi kuna vitu vilikosewa wakati wa kuandaa muswada wa hii sheria mama.....!

kuna vijikauli vya ki-selfish eti 'until death do us aparr'....wtf...!ni greedy hiyo ya kibinadamu...!

kwa mfano infidelity ingefanywa halali....!na ukawa ndo utaratibu hizi complains tusingalizisikia...manake ingekuwa ni culture tu....!

....bonyeza like thread hii kama unasupport existence ya infidelity...
 
Huu uzi sijui umenipitaje!!!!!!!!!! Damn! Mambo ya kuzuga ndo mpango haswaa africa, haki sawa bado sanaaa, kupatikanika
 
labda binadamu tuli complicate haya kwa kutaka yawe yana last forever

ukikubali kuwa yakiisha yameisha
unaanza zako taratibu..bila presha

ni kweli the boss ingawa binadamu huwa tunajaribu kulazimisha sana ...huku tunaumia moyoni kil tukiwaza namna ya kufanya maamuzi magumu tunachanganyikiwa
 
mi nahisi kuna vitu vilikosewa wakati wa kuandaa muswada wa hii sheria mama.....!

kuna vijikauli vya ki-selfish eti 'until death do us aparr'....wtf...!ni greedy hiyo ya kibinadamu...!

kwa mfano infidelity ingefanywa halali....!na ukawa ndo utaratibu hizi complains tusingalizisikia...manake ingekuwa ni culture tu....!

....bonyeza like thread hii kama unasupport existence ya infidelity...

hahahah Teamo nimebonyesha like sio kwamba nasupoti mambo ya infidelity la hasha
nimependa pale uliposema walikosea waliweka till death do us apart
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi sijui umenipitaje!!!!!!!!!! Damn! Mambo ya kuzuga ndo mpango haswaa africa, haki sawa bado sanaaa, kupatikanika
lara 1 kuzuga sio mpango mzima ..unazug mwisho unajikuta umekuwa komited kwenye mahusiano ambayo moyoni una regret
unakufa kisabuni
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom