nimejaribu kuformat HDD yangu kwa kutumia xp sp2 cd imekataa ;
nilichofanya;
- nilifanikiwa kwa mara ya kwanza kuweka os kwa kui 'slave' baada ya kuirudisha kwenye CPU yake ikakataa kabisa ingawa kwenye comp ya kwanza niliyotumia kwa kuiformat ilikubali.
- nilirudia procdure hizo hapo juu lakini haikutaka hata kabisa kuinstall os tena lkn nikii slave inaonekana nifanye nini naomba msaada
inakataa kustart toka kwenye cd ili ni install plz help