Elections 2010 Faida za uchumi kumilikiwa na wageni (wawekezaji) ukifika uchaguzi wanakwenda likizo

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,185
307
Wadau hivi mmeshagundua kuwa bidhaa mbalimbali zimeanza kukosekana sokoni? Kuna biashara nyingi pia za wageni zimefungwa kwa muda na zile ambazo hazijafungwa zinafanya kazi chini ya kiwango chake na wengi wa wamiliki hawa hawapo nchini.... Mnakumbuka hapo nyuma shilingi ilipoteza thamani sana dhidi ya dollar? wengi walikuwa wanabadilisha madafu yao kupata dollar ili wakiondoka wasipate taabu.

Hii ni sababu nyingine ya kuikataa CCM (Kikwete) kwa sababu wanaamini kuwa hatuwezi kuendelea bila misaada ya watu kutoka nje, hii siyo kweli na kwa kufanya hivyo wanatuweka sote njia panda pindi wageni hawa wakiamua kurudi kwao kwani nyumbani ni nyumbani
 
Hiyo tuwaachie wataalam wazalendo watuelishe kinachojiri bank kuu Je ununuaji wa dollar umeongezeka kwa kiwango cha kutisha au ni wa kawaida?.Naamini baada ya muda wakereketwe watashusha nondooos
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom