Faida za kutumia ubuntu

Thanks kwa kumpa majibu niliyo kuwa nataka kumpa. Windows tutaendelea kuitumia kwakuwa hatuwezi pata everything kwenye open source but kwa mengine linux rocks
Hapo umeena..
Me nashindwa kutumia ubuntu kwasababu haina software za kutosha...Na hilo ni tatizo la open source stuffs.
Ni chache sana zenye powerful features lakini nyingi zinabeba basic features, na ni hapo windows inakuwa na umuhimu.
 
Back
Top Bottom