Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
salama rafiki............. mzima wewe?habari ya masiku weye mdada?
salama rafiki............. mzima wewe?habari ya masiku weye mdada?
Akaendelea kusema nanukuu "Faida ya kutoka nje ya ndoa ni kunaongeza mahaba, wanaume wengi wanapotoka nje ya ndoa wakirudi nyumbani hujitahidi sana kuongeza mapenzi kwa wake zao, mwanaume anaweza kurudi nyumbani akiwa amebeba zawadi kibao huku akionyesha mahaba ya hali ya juu, yote haya anayafanya ili mke wake asibaini kuwa anatoka kusalitiwa" mwisho wa kunukuu
mkuu, siyo kwa kauli hiyo.,,, sema tu wewe huwa ni msalitiKwa kauli hii, nitasaliti daima!
Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu mume/mke wako baada ya kukutana na matakataka mengi huko nje!
Nawasilisha

Sasa mkuu ukila chungwa kila siku,, ukiona ndimu utadhani nayo ni tamu kama chungwa. Ila ukionja hiyo ndimu ndipo utaliheshimu sana chungwa la kila siku. Waswahili wanasema kusaliti ni kama kulamba shubiri,, bila kuionja unaweza kudhani ni tamu lakini utakapoonja na kubaini ni chungu siku nyingine huwezi kurudia kulamba.
Kwanini utoke nje ya ndoa!
Unachokitafuta huko ni nini haswa?
Mimi binafsi sioni faida yoyote!
hahahahaaaaaaAcha unafki wewe,hujawahi kutoka au ndo kuosha jina hapa?
hii michezo michafu unamaanisha ipi mkuu?i
Binafsi hunisaidia sana kumhehsimu mke wangu. Unajua ukishapiga nje unakuwa kama unajihisi una hatia hivi, kwa hiyo mapenzi yanakuwa kwa sana. Halafu unaona kuwa kule nje hakuna cha ajabu - sana sana mambo madogo mamdogo tu.
Pia nje kuna mambo unaweza kuyaomba na ukayapata - nyumbani huwezi (simaanishi michezo michafu).
Lakini naona wanawake zetu wakienda nje wanarudi na madharau kibao - tofauti na sie
Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi?
Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu mume/mke wako baada ya kukutana na matakataka mengi huko nje!
Nawasilisha

Faida sioni kabisaaa!

hasara ndio nyingi

1. Kuwa mbali na Mungu

2. Stress

3. Un necessary expenditure

4. Magonjwa

5. Kuto kuwa huru

6. Kukosa amani

7.