Faida za kutoka nje ya ndoa

Kuna mtu alisema yafuatayo nina nukuu "Miongoni mwa faida za mwenza kusaliti ni kudumu kwa ndoa" akaendelea kusema "Ndoa zisizo na usaliti, wakimaanisha uaminifu aslimia 100 inapotokea mmoja akachepuka, mwenzake akibaini, maisha yao ya ndoa huishia hapo hapo" akazidi kulonga kuwa "Ndani ya moyo wa binadamu kuna kisanduku cha dhamira ambacho kazi yake kubwa ni kumkumbusha binadamu uovu wake na hivyo kutulia anavyotendewa" mwisho wa kunukuu.
 
Duh! Hicho kisanduku ndicho kinacholeta au kuwapa watu Presha maana siri zetu wenyewe ndizo zinatuua
 
Akaendelea kusema nanukuu "Faida ya kutoka nje ya ndoa ni kunaongeza mahaba, wanaume wengi wanapotoka nje ya ndoa wakirudi nyumbani hujitahidi sana kuongeza mapenzi kwa wake zao, mwanaume anaweza kurudi nyumbani akiwa amebeba zawadi kibao huku akionyesha mahaba ya hali ya juu, yote haya anayafanya ili mke wake asibaini kuwa anatoka kusalitiwa" mwisho wa kunukuu
 
Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu mume/mke wako baada ya kukutana na matakataka mengi huko nje!<br />
Nawasilisha
<br />
<br />
Mkuu kuna gazeti moja la udaku japo silikumbuki jina, hapo katikati ya wiki hii kila kitu kimewekwa wazi. Nadhani itakusaidia kwa kiasi fulani kuweza kuzifahamu kidogo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom