Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

GARLIC

attachment.php
 
Mkuu Mzizi mkavu asante kwa kusaidia jamii,
sasa mh. Mbona hawarudi kutoa feedback na miaka inazid kwenda?
Pia pliz unahtajika kwenye post ya 'kila akija ni wa kike nifanyeje?'
 
Mkuu Mzizi,kuna mtu aliuliza kwamba "kama ukiwa na promis sa kumi je ukijpaka swaum sa sita, je itafanya ile kaz ya kuburudisha?" hukumjib,nipe hiyo tafadhali,
 
Mbona nimeandika Dawa nyingi tu za nguvu ya Kiume? Unataka Dawa ya nguvu ya Kiume wewe? haya chukuwa hii hapa Chukua Mdalasini pamoja na asali uchanganye kwa pamoja atie na maji ya Uvuguvugu , halafu kila chakula chako kisikose kipande cha tango..

Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.

TIBA YAKE:
chukua mbegu za tikiti maji zikaange halafu zitwange ili zitoe unga, chukua juici ya kitunguu thaumu lita moja na asali lita moja changanya pamoja juisi ya kitunguu thaumu na asali weka na vijiko kumi vikubwa vya unga wa tikiti maji koroga vizuri na uwe unakunya dawa hii kikombe kimoja cha kahawa mara tatu kila siku kwa muda wa wiki moja.

Chanzo: Mzizimkavu

Namna kujitibu maradhi ya kuwahi kushusha manii haraka wakati la tendo la ndoa na bila kujitibu wanaathirika wote khususan mwanamke.
Madawa yake ni:

1.Tangawizi.
2.Uwatu.
3.Asali.
4.Mdalasini.

Chukua unga wa tangawizi kiasi cha vijiko vitatu vya chakula kisha changanya na dawa iitwayo uwatu unga wake kiasi cha vijiko vitatu vya chakula, na hakikisha madawa haya ni ya unga yaani yatwange hadi yawe unga kisha chemsha kwa maji glasi tatu baada ya kuchemsha hakikisha

glasi moja inapotea kwa kuchemsha, halafu mgonjwa wa tatizo hilo atakuwa akijipaka kwenye dhakari yake na kwenye korodani kila siku mara moja na wakati anatumia dawa hiyo itamlazimika atumie asali kijiko kimoja c

Mkuu hicho kijicho cha asali nacho unakichanganya kwenye huo mchanganyiko? Na vipi hii dawa ya Uwatu Inapatikana maeneo yepi hasa?
 
Mkuu Mzizi Mkavu mchanganyiko wa Madalasini, Asali na Maji ya vuguvugu ni kwaajili ya kunywa?
 
Mkuu NDESSA ndio mchanganyiko wa Mdalasini Asali na Maji ya Uvuguvugu ni kwa ajili ya kunywa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mzizi,kuna mtu aliuliza kwamba "kama ukiwa na promis sa kumi je ukijpaka swaum sa sita, je itafanya ile kaz ya kuburudisha?" hukumjib,nipe hiyo tafadhali,
Mkuu Larusai Mux Mkuu haiwezi kufanya kazi inatakikana ujipake wakati bibie yupo ndani wewe nenda chooni kajipake kisha umuingilie ataona raha sana kimapenzi hawezi kukuacha huyooooo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Larusai Mux Mkuu haiwezi kufanya kazi inatakikana ujipake wakati bibie yupo ndani wewe nenda chooni kajipake kisha umuingilie ataona raha sana kimapenzi hawezi kukuacha huyooooo

mkuu Mzizi nimekupata vizur sana, kuna uzi 'unakushtaki' mkuu! Wa 'kujikinga na ukimwi bila kutumia kondom',karibu pale mkuu
 
Last edited by a moderator:
je vitunguu vinasaidia kuongeza nguvu za kiume au? tafadhali naomba unijibu. nashukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom