Faida na mapungufu au madhara ya kutumia kitanzi(loop) kwa akinamama

no9

Senior Member
Nov 11, 2010
188
18
Mke wangu anatumia hii njia ya nyota ya kijani baadhi ya watalaamu wananishauli asitumie njia hii atumie kalenda,hakuna anayenishauri atumie njia kitaalamu nyingine zaidi ya kalenda inamaana hizi njia za kitaalamu zina madhara mwilini au
 
mhh hizo njia haziaminiki kwa kweli.
wengine zinawakubali lkn wengine zinakataa.
ni ukweli kutumia kalenda ni salama zaidi hata mimi nakushauri hivyo.
 
Nakushauri mtumie kalenda na kupiss nje, izo njia za uzazi za kitaalam nyingi zina madhara na huwa hazina mwisho mzuri. Ingawa wenyewe wanazifagilia sn
 
nashukuru na nyingine nasikia inaondoa hamu ya kufanya mapenzi
 
mhh kutumia kalenda chans ya kukosea kubwa....kuna mabadiliko..kujisahahu...mara kakojolea ndani....sjui ipi njia nzur bt stl m dbtng kalenda:shut-mouth:
 
mhh kutumia kalenda chans ya kukosea kubwa....kuna mabadiliko..kujisahahu...mara kakojolea ndani....sjui ipi njia nzur bt stl m dbtng kalenda:shut-mouth:
hivi wale wazee wa zamani walikuwa wanatumia njia gani. Wazazi wangu wametuspace miaka mitatu mitatu watoto wote. Na baba na mama daima walikuwa pamoja hapo nyumbani walitumia njia gani? Maana wakati ule hakukuwa na hizi njia za kisasa! nafikiri mengine ni kujiendekeza tu.
 
tatizo la vitanzi, wengi wanakuja kujikuta wanableed mfululizo. namfahamu binti mmoja ana tatizo la kubleed hadi mwaka mzima...mara nyingi inamnyima raha, na anakuwa anaongezewa damu mara nyingi sana. watu wanachanga damu ili aongezewe...

tatizo lingine ni kunenepa sana. hii imewapata wengi, wananenepa sana. kama mumeo ni mwembaba, usijaribu...utaonekana we ndo mamake au bibi yake. nafikiri kalenda ni bora pamoja na kwamba unaweza kukosea...ukikosea basi unalea, MUngu akupe nini.
 
hivi wale wazee wa zamani walikuwa wanatumia njia gani. Wazazi wangu wametuspace miaka mitatu mitatu watoto wote. Na baba na mama daima walikuwa pamoja hapo nyumbani walitumia njia gani? Maana wakati ule hakukuwa na hizi njia za kisasa! nafikiri mengine ni kujiendekeza tu.

Wazee wetu zamani mama akishajifungua baba anatafuta nyumba ya nje ambapo atakuwa anajiliwaza. Ndio maana kila familia utakuta kati ya mtoto mmoja na mtoto mwingine kuna mdogo wao wa nje ambaye anakuja kujulikana ukubwani.

Ni Mbaya sana na inaleta matatizo mengi sana baada ya kujulikana.
 
Nakushauri mtumie kalenda na kupiss nje, izo njia za uzazi za kitaalam nyingi zina madhara na huwa hazina mwisho mzuri. Ingawa wenyewe wanazifagilia sn

Unajua kama wewe ni mume na mke, hata mnapofanya "Tendo la Ndoa" mpo huru, na mnafanya kwa raha zenu, tofauti na kama umetoka na mwanamke sio wako ku'piss' nje ni rahisi maana unakuwa huna amani nyingi (e.g magonywa ya zinaa, kupata mimba) hivyo unakuwa makini.

Kama mkeo, asikudanganye mtu, utaweza ila lazima utakuja kujisahau tu utamu ukikolea.

I have friend of mine yeye anamiaka 50 na mke wake anamiaka 40, wana watoto 3 na mtoto wao wa mwisho anamiaka 15, wao siku zote toka mtoto wao wa mwisho walikuwa wanatumia kuhesabu kalenda. Amini usiamini hivi ninavyoandika, sijui sababu ya stress mama anafanya kazi benk siku zikabadilika bila kujijua, sasa ana mimba ya miezi 6, anajiuliza anaanzaje kukimbizana na kubadilisha mtoto nepi bila kupanga.

lakini Mwisho wa yote, Naunga mkono hoja, kuhesabu kalenda ka pissing nje ndio njia pekee zisizo na madhara.
 
Mkuu no9 .. sorry nipo out-of-topic - hiyo Avatar yako vipi

profilepic31367_2.gif

... au ndio mambo ya nyota ya kijani?!
.
 
Mke wangu anatumia hii njia ya nyota ya kijani baadhi ya watalaamu wananishauli asitumie njia hii atumie kalenda,hakuna anayenishauri atumie njia kitaalamu nyingine zaidi ya kalenda inamaana hizi njia za kitaalamu zina madhara mwilini au

Tumia kalenda kwa ajili ya afya ya mama na mtoto zingatia siku za unyevu na ukavu hii mke anatakiwa anotice mapema kwenye siku za unyevu msifanye chochote na zingatia ovulation day.mi nimetumia mtoto ana miaka miwili na nusu umakini unahitajika bora uwazae wafuatane kuliko kuzaa mtoto akiwa na matatizo hasa ya moyo au mama kupata matatizo
 
dotword tunatumia loops,kuna wakati wife akiwa mvua zinanyesha huwa yanatokea maumivu makali sana upande kulia au kushoto namguu kufa ganzi hapo kama alikuwa afanya shughuli yoyote husimama sasa sijui ni hicho kitanzi
 
Hiyo ya maumivu labda ndo kitanzi ila mguu kufa ganzi na kuuma wakati wa baridi na sijui ni nini
 
Back
Top Bottom