Faida na Madhara ya Kula Mayai mabichi

SicheKi

Member
May 10, 2012
17
4
Wanajamvi. Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa mlaji mzuri wa mayai mabichi kiasi kwamba ninakula mayai si chini ya manne [4] kwa siku. Naomba kufahamishwa iwapo kuna madhara yoyote.
 
Kula mayai ya kuku wa kienyeji sio kula mayai ya kuku wa kutengeneza Mkuu SicheKi unaweza kula mayai kwa wiki mara 3 4 sio kila siku Mkuu na pia ikiwezekana mayai 3 yanatosha na pia kama utayachemsha itakuwa pia sio mbaya.

1st part: Egg whites have a lot of protein. If you want to add extra protein to your diet they are an excellent source (leave out the yolk if you want to avoid most of the fat). However protein alone does not build muscle, this is a common fallacy. Adding extra protein to your diet will do nothing unless you also have the appropriate workout regime.

2nd part: Yes, raw eggs have been known to cause salmonella especially in children, elderly and immunologically

impaired.However a healthy adult has less chance. Cooking the eggs is an alternative although it does kill some of the nutrients. If you're dead set on eating them raw like Rocky then take some pro-biotics which have been found to help against salmonella

establishing an infection. Only other side effect i can think of is the high sulphur content, you may experience a lot of wind if you eat a lot of eggs, then again I experienced the same thing with protein powders.

Its up to your preference really. Just a little tip for post work-out, try eating some protein within the first half hour after training as its been shown to help recovery
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu asante kwa hayo maelelezo yamenipa mwanga. Vp mayai mabichi hayana uhusiano wowote na magonj9a ya moyo.
 
Mkuu MziziMkavu asante kwa hayo maelelezo yamenipa mwanga. Vp mayai mabichi hayana uhusiano wowote na magonj9a ya moyo.
Mkuu SicheKi itapendeza uwe unakunywa yai moja

bichi pamoja na kijiko kimoja cha Asali inasaidia nguvu za kiume na kama una kifua pia inasaidia. kuhusu yai bichi

na uhusiano na maradhi ya moyo sijuwi labda waje wenzangu wakuambie ila kama utafanya hivyo nilivyokuambia

itakuwa ni bora zaidi kama ujuavyo Asali ina faida nyingi katika mwili wa binadamu tumia njia yangu hiyo utakuwa

na nguvu za kiume si unajuwa Mwanammeni nguvu za kiume? Mwenzangu ni dume kama mimi au Jike?
 
Mkuu SicheKi itapendeza uwe unakunywa yai moja bichi pamoja na kijiko kimoja cha Asali inasaidia nguvu za kiume na kama una kifua pia inasaidia. kuhusu yai bichi na uhusiano na maradhi ya moyo sijuwi labda waje wenzangu wakuambie ila kama utafanya hivyo nilivyokuambia itakuwa ni bora zaidi kama ujuavyo Asali ina faida nyingi katika mwili wa binadamu tumia njia yangu hiyo utakuwa na nguvu za kiume si unajuwa Mwanammeni nguvu za kiume? Mwenzangu ni dume kama mimi au Jike?
Mi DUME kama wewe MziziMkavu Sina tatizo la nguvu za kiume; hapo sawa?.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom