Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Una nguvu na wengi umewasaidia chukua ule wa magamba usage kwenye blender ile ya kusagia viungo then upime kijiko kizima cha chai halafu weka maji kwenye kikombe kidogo cha chai weka na asali vijiko viwili vikubwa kama ikiwa ya maziwa pia ni nzuri kunywa utaona mabadiliko

hongera sana kwa kazi njema
 
hii aina madhara kabisa ni tofauti kabisa na viagra hii nikama virutubisho vyakula tunavyokula vinakosa virutubisho vingi sana angalizo ogopa sana dawa za nguvu za kiume za kupewa na wale waganga wenye mabango cjui ukinywa baada ya nusu saa tu unapata majibu kwani wanasagaga viagra wanachanganya na wanachokijua wanakuambia ni mitishamba

Drphone hapo umegonga ikulu. Kumbe jamaa ni noma aiseee
 
Gaga, tafadhali rudia pole pole hiyo mada ya mdarasini, naona kama una mantiki vile ila umeandika kwa haraka kwa hiyo hatukuelewi vizuri. Rudia mada pole pole fafadhali.
 
waweza tafuta mdalasini uliosagwa ama ukausaga mwenyewe kama gaga alivyoeleza mwanzo!upate unga wake changanya na asali ili utengeneze "Paste"kama dawa ya meno kisha uwe unakunywa kila usiku kabla ya kulala, mchanganyiko huu unasaidia sana kwa wale wanaotaka kupata watoto kwa kuwa huimarisha mbegu za kiume na si vibaya kutumia na mwenzio ili kuharakisha matokeao!
 
Una nguvu na wengi umewasaidia chukua ule wa magamba usage kwenye blender ile ya kusagia viungo then upime kijiko kizima cha chai halafu weka maji kwenye kikombe kidogo cha chai weka na asali vijiko viwili vikubwa kama ikiwa ya maziwa pia ni nzuri kunywa utaona mabadiliko
kwa hayo maelezo yako nilisha wahi kutumia kwa lengo la kupunguza uzito nilifanikiwa kupungua kl 2 baada ya siku 20...lakini la nguvu za kiume sikuligundua....
 
Nilikuwa nasumbuliwa na hali ya kujihisi kuchoka na pengine kama kuona damu haiendi shwari mwilini. Nikashauriwa nitumie mdalasini kuchanganya na asali mbichi na kitunguu swaumu katika maji ya uvuguvugu. Sikupata kitunguu swaumu ila nilijaribu asali na mdalasini, muda mfupi nikianza kuhisi natamani "mambo ya kifamilia" ni kama via gra fulani vile!
 
Eeh ndio zake!hebu search kwenye google 'honey and cynamon'utapata kila kitu kinachofanya asali na mdalasini mwilin mwako!ni dawa nzuri sana
 
Honey and Cinnamon Remedy
The combination of honey and cinnamon has been used in both oriental and Ayurvedic medicine for centuries. Cinnamon is one of the oldest spices known to mankind and honey’s popularity has continued throughout history. The two ingredients with unique healing abilities have a long history as a home remedy. Cinnamon’s essential oils and honey's enzyme that produces hydrogen peroxide qualify the two “anti-microbial” foods with the ability to help stop the growth of bacteria as well as fungi. Both are used not just as a beverage flavoring and medicine, but also as an embalming agent and are used as alternatives to traditional food preservatives due to their effective antimicrobial properties. People have claimed that the mixture is a natural cure for many diseases and a formula for many health benefits:
1) HEART DISEASES: Apply honey and cinnamon powder on bread instead of using jam or butter and eat it regularly for breakfast.
2) ARTHRITIS: Apply a paste made of the two ingredients on the affected part of the body and massage slowly.
3) HAIR LOSS: Apply a paste of hot olive oil, a tablespoon of honey, a teaspoon of cinnamon powder before bath, leave it for 15 min and wash.
4) BLADDER INFECTIONS: Mix cinnamon powder and honey in a glass of lukewarm water and drink.
5) TOOTHACHE: Apply a paste of cinnamon powder and honey and on the aching tooth.
6) CHOLESTEROL: Add honey to cinnamon powder mixed in boiled water or green tea and drink.
7) COLDS: Make a glass of lukewarm honey water mixed with cinnamon powder to help boost your immune system during the cold season. It may also help to clear your sinuses.
8) INDIGESTION: Cinnamon powder sprinkled on a spoonful of honey taken before food relieves acidity.

9) LONGEVITY: Regularly take tea made with honey and a little cinnamon powder.
10) PIMPLES: Mix honey with cinnamon powder and apply paste on the pimples before sleeping and wash away the next morning.
11) OBESITY: To reduce weight, daily drink a mixture of a teaspoon of honey with half a teaspoon of cinnamon powder boiled in water with an empty stomach in the morning about half an hour before breakfast. Read: Cinnamon and Honey Recipe.

Cinnamon has an insulin boosting property (water soluble compounds called polyphenol type A polymers)which have the ability to boost insulin activity about 20 fold and can benefit people who have high sugar levels (obese people, pre-diabetics and diabetics ). Also, read the honey hibernation diet theory to find out how honey contributes to the metabolizing of undesirable cholesterol and fatty acid, provides a fuelling mechanism for the body, keep blood sugar levels balanced, and let our recovery hormones get on with burning body fat stores.

12) BAD BREATH: Gargle with honey and cinnamon powder mixed in hot water so that breath stays fresh throughout the day.

Honey plus cinnamon together besides being a amazing potential cure for so many illnesses, their total fragrant, sweet and warm taste is also a perfect match for the palate. The combination adds a magic effect to the taste of cakes, breads, biscuits and rolls and is known to make many winning recipes in the world of delicious food, such as the famous, easy-to-make, kids' favourite classic - honey and cinnamon butter toast!


Click for Source
 
Nilikuwa nasumbuliwa na hali ya kujihisi kuchoka na pengine kama kuona damu haiendi shwari mwilini. Nikashauriwa nitumie mdalasini kuchanganya na asali mbichi na kitunguu swaumu katika maji ya uvuguvugu. Sikupata kitunguu swaumu ila nilijaribu asali na mdalasini, muda mfupi nikianza kuhisi natamani "mambo ya kifamilia" ni kama via gra fulani vile!

Kitunguu swaumu tafuta kwenye namba hizi hapa 0755502597 au 0713460173 ni wajasiriamali wako hapa bongo.
 
Mwenye ufahamu naomba msaada ni kweli Abdalasin almaarufu Mdalasini ukichanganywa na asali unatibu vidonda vya tumbo(ulcers)

kuna mdau mmoja amenieleza mchanganyiko huo ni dawa ilihali hapo awali nilikuwa nikifahamu Mdalasini ni kwa kupunguza au kuondoa Kitambi kwa maana inayeyusha mafuta

Kaka yangu ameanzwa na tatizo la ulcers kwenye utumbo mwembamba na yupo tayari kutumia dawa ya kienyeji au herbs tuu
 
Mwambie kaka yako asipate shida ugonjwa alionao unatibika kirahisi na unga wa kiini cha ndizi iitwayo mkono wa tembo. Chukua ndizi aina ya mkono wa tembo pasua katikati utakuta kama mizizi/kiini toa kiini hicho anika ikauke twanga naupate unga mgojwa alambe mara tatu kwa siku atapona hata kama utumbo ume katika.......
 
ndizi aina ya mkono wa tembo pasua katikati utakuta kama mizizi/kiini toa kiini hicho anika ikauke twanga naupate unga mgojwa alambe mara tatu kwa siku atapona hata kama utumbo ume katika.......

Asante Kereng'ende

ila hapo bolded duh

kuna mzee mmoja wa kipare anadai ukichanganya asali+maziwa fresh+mafuta ya kondoo+yai la kienyeji nayo dawa
 
Back
Top Bottom